Feld Marshal Tantawi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2014
- 655
- 1,069
Samia nae anayoyafanya anayoyafanya kwenye uchaguzi anafikiri ndo atapendwa sana na wanaccm na watanzania
Rais amegoma kushaurika na anaona yeye ana mamlaka ya kuyafanya haya bila kuulizwa na mtu lkn nasikitika mana wanaompa kiburi ndo watakaorud kama ilivokuwa kwa mwendazake na hatakuwa na wakumtetea
Uchaguzi huu wa serikali za mitaa ilikuwa ni njia ya yeye kupata mamlaka kamili rohoni lakini kwa bahari ameshindwa kuchanga karata vema.
Kama ambavyo watu hawakulala juu ya dhuruma za kipind cha mwendake zake na saiz pia hawatalala tena juu ya dhuruma hizi na Mungu yupo pia upande wao.
Tulikua na nafas ya kurekebisha kama taifa lkn aliepewa mamlaka kashindwa fanya hivo kama watz tunapaswa kuiombea sn nchi katika kipind hiki na miaka 2 ijayo kuliko wakati mwingine wowote.
Naomba kuwasilisha ............✍️