Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatar snKinachomsumbua anafikiri watu wanamdharau kwa sababu yeye ni Mwanamke labda wanasema hawezi chochote kwahiyo yote anafanya ili kuwaonesha watu kwamba na yeye ukauzu anauweza lakini asichokijua anaangaika kufurahisha wanadamu wenzake tu ambao hawawezi kumsaidia chochote mbele ya adhabu za Mwenyezi Mungu.
Ni kweli Watanganyika ni watu dhaifu mbele ya watu wenye mabunduki,vifaru na mabomu ambao wanaweza kukusaga kwa sekunde moja tu kama Sisimizi lakini yupo mwenye dunia yake,kwahiyo wacha wafanye watakavyo ila watambue tu katika dunia hii wamepita watu makatili kuliko wao na wamepita.
AmenAna nia ya kuimbiwa niagieni kabla ya uchaguzi wa 2025
Ww hauna Akili je hata mazingira tu yalikushinda kugundua kitu 2020 mbona basi una ubongo mzito sana sasa huko shule ilikuwaje kama mazingira tu huwezi kuyasoma bro.Yaani kuna wanafikiri kwa kua wao hawaitaki ccm basi lazima kila mtu haipendi ccm. Na eti ili Samia awe kiongozi mzuri basi ccm yake ishindwe kwenye uchaguzi. Ukweli wapinzani tatizo liko kwao. Yaani wananchi hawana imani na wapinzani. Hata kama kuna hawaipendi ccm basi wanaona bora jini wanalolijua. Chama cha chadema hakijajitambua tu makosa makubwa yaliyokipotezea imani kwa wananchi. Kitendo cha kumuweka Lowassa kugombea urais mtu waliyekua ndio ubao wao wa mazoezi kupiga kuhusu ufisadi lilikua kosa sana. Pili kujiengua Dr Slaa lilikua pigo mtu aliyekua katibu mkuu mwenye mvuto mkubwa. Safu ile ya kabla ya uchaguzi wa 1915 ilikua imara na ilivuta imani na wafuasi wengi. Baada ya hapo chadema wamekwisha maana hata wale wabunge walipata 1915 ilikua ni wafuasi wa lowassa. Baada ya hapo 2020 chadema ikaishilia na mbunge mmoja tu. Wamebaki uongo eti waliibiwa kura.