LGE2024 Watawala hawajifunzi? Alichokifanya Magufuli ndo Samia nae anapita mule mule

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kinachomsumbua anafikiri watu wanamdharau kwa sababu yeye ni Mwanamke labda wanasema hawezi chochote kwahiyo yote anafanya ili kuwaonesha watu kwamba na yeye ukauzu anauweza lakini asichokijua anaangaika kufurahisha wanadamu wenzake tu ambao hawawezi kumsaidia chochote mbele ya adhabu za Mwenyezi Mungu.
Ni kweli Watanganyika ni watu dhaifu mbele ya watu wenye mabunduki,vifaru na mabomu ambao wanaweza kukusaga kwa sekunde moja tu kama Sisimizi lakini yupo mwenye dunia yake,kwahiyo wacha wafanye watakavyo ila watambue tu katika dunia hii wamepita watu makatili kuliko wao na wamepita.
 
Hatar sn
 
Ww hauna Akili je hata mazingira tu yalikushinda kugundua kitu 2020 mbona basi una ubongo mzito sana sasa huko shule ilikuwaje kama mazingira tu huwezi kuyasoma bro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…