Watawala makatili zaidi kuwahi kutokea barani Afrika


Unacho kisema ni kweli
 
YAHYA JAMMEH, IDDI AMIN, MOBUTU, SANI ABACHA umedanganyanya.

Kipindi chao nchi zao ndio zilikuwa na maendeleo zaidi.
 
Kuna Mambo ya kufikilishika Sana,mtu ameua watu wengi lakini ndio huyo alinua uchumi wa nchi kufika ilipo sasa,katika hali ya kawaida ni hadithi za kutengeneza mtuu achafuke.
 
YAHYA JAMMEH, IDDI AMIN, MOBUTU, SANI ABACHA umedanganyanya.

Kipindi chao nchi zao ndio zilikuwa na maendeleo zaidi.
Kaka...

Yaani propaganda zina nafasi kubwa siku hizi kuliko maarifa. Ila kinachochanganya, wanamtaja Amin kama dictator, ila hao hao wanamtaja Gaddaf kama shujaa wa Afrika, afu hao hao wanasema amin allikimbilia kwa Gadafi after vita. Sasa Shujaa kumpokea Dictator, mmhhh.... Inanifikirisha sana
 
Hivi ushahidi wa hili ni upi? Zile muvi za kutengenezwa ama?? Kasome kitabu cha

Boräm B. Amicheviç kiitwacho.

𝘽𝙧𝙞𝙩𝙞𝙨𝙝 𝙏𝙝𝙤𝙪𝙜𝙝𝙩 𝙤𝙛 𝘼𝙢𝙞𝙣 𝘿𝙞𝙘𝙩𝙖𝙩𝙤𝙧𝙨𝙝𝙞𝙥,
 
Gaddafi alikuwa dikteta pia
 

Tunahitaji the opposite list ya Viongozi makatili Africa
Inawezekana Tanzania tunaongoza Kwa Marais wapole Africa
1.Ally Hassan Mwinyi
2.Samia Suluhu Hassan.
4.Jakaya Kikwete
5.Benjamin Mkapa...
6.Uhuru Kenyatta
7.Bakili Muluzi
8.Thabo Mbeki
9. Nelson Mandela
10.Marais wa Botswana almost wote ...

List sijaipanga Kwa ranks
 
Katika wote hao hakuna aliyemfikia Francisco Macias Nguema. Mjomba wa Theodore Nguema. Africa haijawahi kuwa na kiongozi kichaa na katili kama huyo jamaa.
 
magufuli umemuachia nani?
 
Nasikia pia wana wa jeshi la waasi au mpinzani wake, prince johnson.

Walichukua jukumu la kumla-witi / kumchezea buttocks zake,

Wana wa jeshi wapatao 38, lakini samuel doe alikuwa imara bado...?

Ni kweli samuel doe, waliliwa- tako na wana hawa wa jeshi wa prince johson.

🍁..............kush master..................🍁
 
Ilikuwa ni lazima wawe kumi tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…