jinola hamza
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 657
- 441
Kwenye listi yako kagame hayupo ..haijakamilika mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamsahau mmojaTanzania vipi hakuna
Huyu jamaa nasikia alikuwa anakwenda mpk sokoni yani amani tu baada ya kustafu urais r.i.pBila Jery Rawlings Ghana isingekuwa na demokrasia unayoiona leo. Yule ni baba wa demokrasia Ghana.
Ni kweli aliwaambia wamachinga wahame sehemu fulani sokoni wakabisha. Siku ya siku alikwenda mwenyewe amevalia uniform za jeshi na kikosi chake wakawachapa viboko vya kutosha. Wamachinga hawakukaa pale sokoni mjini mpaka alipowacha uraisi.Huyu jamaa nasikia alikuwa anakwenda mpk sokoni yani amani tu baada ya kustafu urais r.i.p
What? You know nothing.Jerry Rawlings.
Mobutu ndani,magufuli out haya banaWatawala gani makatili zaidi kuwahi kutokea barani Afrika na kwa sababu gani?
Mimi Nafikiri wafuatao
1.Mfalme Leopold II wa Ubelgiji
Alikuwa pia mtawala wa Congo DR ya sasa kati ya mwaka 1885 hadi 1909. Yale yote unayosoma au kusika Hitler aliwafanyia Waisraeli wa Kijuremani na Poland basi Mfalme Leopold aliwafanyia Wakongo.
2. Makaburu wa Africa Kusini(1948-1994)
Hawa walikuwa hawaamini kama Waafrika ni sawa na binadamu wengine. Watu weusi wakazi asilia wa Africa Kusini ambao walikuwa asilimia 90 ya wakazi wote walitumikishwa chini ya kongwa la utumwa na kikundi cha watu weupe wasiozidi asilimia kumi ya idadi ya watu wote kwa miaka 46.Makaburu waliondoa kabisa dhana ya utu wa mtu mweusi.
3. Iddi Amin(1971-1979)
Huyu ni Kiongozi wa Uganda aliyekuwa Katili na mwehu.Alifanya kila ushenzi katika utawala wake.Alikuwa anaamini yeye ndiye mtu pekee asiye mzungu mwenye akili kuliko wazungu wote na anayeogopwa nao.Aliua viwete alifukuza Waasia wote Uganda. Akimpenda mke wako anakuua anamchukua.
4.Mobutu Seseko(1965-1997)
Huyu alikuwa Rais wa Congo DR aliyependa maisha ya starehe tu bila kujali raia wake wako katika hali gani.Alikuwa anafanyia shopping zake Paris. Aliingizwa katika siasa za juu za Congo na Lumumba ila baadaye alihusika kikamilifu katika Mipango ya kuuwawa kwa Lumumba.
5. Yahya Jammeh wa Gambia(1994-2017)
Huyu itoshe kusema ni mwendawazimu aliyeyafikia madaraka makubwa ya nchi ndio maana hata kuondolewa kwake ilikuwa kirahisi sana ukilinganisha na madikteta wengine. Pamoja na ukatili mwingi aliofanya aliwaaminisha wagambia anayo dawa ya jadi kutibu Ukimwi na maelfu wa waathirika waliangamia katika utawala wake.
6. Jean Bedel Bokassa
Aliitawala Jamuhuri ya Africa ya Kati(CAR) Kati ya mwaka 1966 hadi 1979.Aliingia madarakani kwa mapinduzi ya kijeshi na baadaye alijitangaza yeye ni Mfalme.Wakati wa kujiapisha aliagiza kofia ya kifalme,farasi, champagne na hata maua kutoka Ufaransa.Huyu wapinzani wake walikufa vifo vibaya sana vya kulishwa simba na mamba.Na wakati mwingine aliua familia yote ili kuzuia kulipiza kisasi.
7. Mengistu Haile Mariam
aliitawala Ethiopia kati ya mwaka 1974 hadi 1991 alipopinduliwa na Meles Zenawi. Katika utawala wake wa miaka 17 Alifanya mauji ya kimbari, ubakaji nanjaa kwa maelfu ya raia. Karatasi yake ya mashtaka na ushahidi ilikuwa ya kurasa 8000. Yupo hai anaishi uhamishoni Zimbabwe.
8. Sani Abacha
aliitawala Nigeria kwa miaka mitano tu kati ya 1993-1998 lakini Wanaigeria waliweza kuuishi jehanamu yao kwa kipindi hiko kifupi.Pamoja na mateso na mauji mengine mengi alimtesa na kumuua mfanyabiashara maarufu Moshood Abiola mshindi wa Urais mwaka 1993 kabla ya mapinduzi, alimuua mwanaharakati maarufu wa mazingira Ken Saro-Wiwa.Wakati wa utawala wake magereza zilifurika na wapinzani wake. Aliiba zaidi ya Tirioni 1 za hela ya madafu na kuzificha ughaibuni. Alikufa mwaka 1998 kifo cha utata akiwa na makahaba watatu.
9. Teodoro Obianga Nguema
Rais wa sasa Equatorial Guinea tangu mwaka 1979.Taifa lake ni mojawapo ya nchi zenye mafuta mengi zaidi barani Africa ila zaidi ya theluthi mbili ya Raia wake wanaishi katika umaskini topevu.Yeye ndiye Alfa na Omega Guinea huwezi ukazungumza chochote dhidi yake hadharani ukabaki salama. Amemfanya mmoja wa watoto wake kuwa makamu wake wa Rais pia. Propaganda za vyombo vya habari zinamuelezea yeye kama mungu katika nchi hiyo.
10.Hissene Habre (1982-1990)
Inakadiriwa aliua watu zaidi ya elfu arobani na alitumia njia zozote za mateso kwa wapinzani wake.Katika utawala wake watu walinyongwa na vipago, walichomwa kwa gesi, waliuwawa kwa kunyimwa oksijeni n.k.
Sema madikteta wanajua sana kutukuzwa na wanamuziki. Wanamuziki wa kongo kila leo wanampamba Obiang Nguema. Nilishangaa pia watu kama Morgan Heritage kuweza kuimba wimbo wa kumsifu Jameh! Hela kweli ni asali ya moyo.Yahya Jameh akuwa katili,umemzushia.
Ata Iddi Amin kunachumvi za uzushi ziliongezwa,kama kula nyama za watu,kuwakusanya viwete na kuwatupa mto Kagera n,k
Huyo yuko kwenye list ya wale uchwara 🤣 🤣Magufuli mbona hayupo hapo??
Aliyesahaulika tayari amefukiwa huko mji wenye punda wengi kuliko watuUmemsahau mmoja brother
umefel broJerry Rawlings.
Jerry Rawlings.
Watawala gani makatili zaidi kuwahi kutokea barani Afrika na kwa sababu gani?
Mimi Nafikiri wafuatao
1.Mfalme Leopold II wa Ubelgiji
Alikuwa pia mtawala wa Congo DR ya sasa kati ya mwaka 1885 hadi 1909. Yale yote unayosoma au kusika Hitler aliwafanyia Waisraeli wa Kijuremani na Poland basi Mfalme Leopold aliwafanyia Wakongo.
2. Makaburu wa Africa Kusini(1948-1994)
Hawa walikuwa hawaamini kama Waafrika ni sawa na binadamu wengine. Watu weusi wakazi asilia wa Africa Kusini ambao walikuwa asilimia 90 ya wakazi wote walitumikishwa chini ya kongwa la utumwa na kikundi cha watu weupe wasiozidi asilimia kumi ya idadi ya watu wote kwa miaka 46.Makaburu waliondoa kabisa dhana ya utu wa mtu mweusi.
3. Iddi Amin(1971-1979)
Huyu ni Kiongozi wa Uganda aliyekuwa Katili na mwehu.Alifanya kila ushenzi katika utawala wake.Alikuwa anaamini yeye ndiye mtu pekee asiye mzungu mwenye akili kuliko wazungu wote na anayeogopwa nao.Aliua viwete alifukuza Waasia wote Uganda. Akimpenda mke wako anakuua anamchukua.
4.Mobutu Seseko(1965-1997)
Huyu alikuwa Rais wa Congo DR aliyependa maisha ya starehe tu bila kujali raia wake wako katika hali gani.Alikuwa anafanyia shopping zake Paris. Aliingizwa katika siasa za juu za Congo na Lumumba ila baadaye alihusika kikamilifu katika Mipango ya kuuwawa kwa Lumumba.
5. Yahya Jammeh wa Gambia(1994-2017)
Huyu itoshe kusema ni mwendawazimu aliyeyafikia madaraka makubwa ya nchi ndio maana hata kuondolewa kwake ilikuwa kirahisi sana ukilinganisha na madikteta wengine. Pamoja na ukatili mwingi aliofanya aliwaaminisha wagambia anayo dawa ya jadi kutibu Ukimwi na maelfu wa waathirika waliangamia katika utawala wake.
6. Jean Bedel Bokassa
Aliitawala Jamuhuri ya Africa ya Kati(CAR) Kati ya mwaka 1966 hadi 1979.Aliingia madarakani kwa mapinduzi ya kijeshi na baadaye alijitangaza yeye ni Mfalme.Wakati wa kujiapisha aliagiza kofia ya kifalme,farasi, champagne na hata maua kutoka Ufaransa.Huyu wapinzani wake walikufa vifo vibaya sana vya kulishwa simba na mamba.Na wakati mwingine aliua familia yote ili kuzuia kulipiza kisasi.
7. Mengistu Haile Mariam
aliitawala Ethiopia kati ya mwaka 1974 hadi 1991 alipopinduliwa na Meles Zenawi. Katika utawala wake wa miaka 17 Alifanya mauji ya kimbari, ubakaji nanjaa kwa maelfu ya raia. Karatasi yake ya mashtaka na ushahidi ilikuwa ya kurasa 8000. Yupo hai anaishi uhamishoni Zimbabwe.
8. Sani Abacha
aliitawala Nigeria kwa miaka mitano tu kati ya 1993-1998 lakini Wanaigeria waliweza kuuishi jehanamu yao kwa kipindi hiko kifupi.Pamoja na mateso na mauji mengine mengi alimtesa na kumuua mfanyabiashara maarufu Moshood Abiola mshindi wa Urais mwaka 1993 kabla ya mapinduzi, alimuua mwanaharakati maarufu wa mazingira Ken Saro-Wiwa.Wakati wa utawala wake magereza zilifurika na wapinzani wake. Aliiba zaidi ya Tirioni 1 za hela ya madafu na kuzificha ughaibuni. Alikufa mwaka 1998 kifo cha utata akiwa na makahaba watatu.
9. Teodoro Obianga Nguema
Rais wa sasa Equatorial Guinea tangu mwaka 1979.Taifa lake ni mojawapo ya nchi zenye mafuta mengi zaidi barani Africa ila zaidi ya theluthi mbili ya Raia wake wanaishi katika umaskini topevu.Yeye ndiye Alfa na Omega Guinea huwezi ukazungumza chochote dhidi yake hadharani ukabaki salama. Amemfanya mmoja wa watoto wake kuwa makamu wake wa Rais pia. Propaganda za vyombo vya habari zinamuelezea yeye kama mungu katika nchi hiyo.
10.Hissene Habre (1982-1990)
Inakadiriwa aliua watu zaidi ya elfu arobani na alitumia njia zozote za mateso kwa wapinzani wake.Katika utawala wake watu walinyongwa na vipago, walichomwa kwa gesi, waliuwawa kwa kunyimwa oksijeni n.k.
Umewasahau hawa manyang’au.
1. Fode Sanko(Sierra Leone)
2. Charles Taylor(Liberia)
NB: Mpaka vita vya wenyewe kwa wenyewe vinaishi Sierra Leone, maelfu ya wananchi walikuwa walemavu iwe ni miguu ama mikono. Na wengi wao wakiwa watoto na wanawake. Hata jeshi la Fode Sanko lilijaa watoto(U18).
Watoto wake walikuwa wanasoma day UK
Nyumba yake ilikuwa dhahabu tupu mpaka kitasa
Kweli alikuwa mtu poa.
Sent from my TECNO S1 using JamiiForums mobile app