Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
- Thread starter
- #61
Loweero Triangle ulikuwa uwanja wa mapambano kati ya NRM ya Museveni na Majeshi ya Obote, na majeshi ya pande zote yaliyuhusika na mauji na uhalifu mwingine wa kivita.
Kulingana na vyanzo mbalimbali tofauti Iddi Amini anakadiriwa kuua watu zaidi ya 100,000 katika Utawala wake. Obote anakadiriwa kuua wangapi?
Kulingana na vyanzo mbalimbali tofauti Iddi Amini anakadiriwa kuua watu zaidi ya 100,000 katika Utawala wake. Obote anakadiriwa kuua wangapi?
Obote aliua watu wengi zaidi kuliko Idi Amin. Yeye alikuwa anfanya genocide (mumewahi kusikia kuhusu Loweero triangle?).
Shida ya Idi Amini ilikuwa misifa ya kijinga (aliwahi kuwaambia wazungu wambebe) na pia hakupenda wasomi. Mambo hayo ndiyo yaliyofanya akapigiwa propaganda hasa na waingereza aliwadhalilisha kwa kuwaambia wambebe.
Mwenzake Obote alikuwa anaua kimya kimya.