Watawala makatili zaidi kuwahi kutokea barani Afrika

Watawala makatili zaidi kuwahi kutokea barani Afrika

Kibaraka wa mabeberu mpaka wakamuua Nkrumah? Au nimekosea

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
Nkrumah tunamkuza Tanzania kwa sababu ya sera zetu za kukuza umoja wa Africa ambao alipendelea pia. Nchi nyingine za Africa hana umaarufu huo na hata kwao hawamkubali kama vile tunavyomkubali Mwalimu. Alafu kuna ile notion kwamba kila baba wa taifa alikuwa wa maana sana, sio kweli. Sera za Nkrumah za kijamaa zisingeifikisha Ghana popote wakati alipata uhuru ikiwa na mali nyingi.

Rawlings ni jamaa mmoja civilized ila asiyetaka ujinga. Alishiriki mapinduzi mara ya kwanza akakabidhi madaraka kiraia kwa uchaguzi, yule aliyechaguliwa akawa mpuuzi tu, akashiriki mara ya pili na kuongoza mwenyewe. Itoshe kusema ngozi nyeusi ni nyeusi, Rawlings ana asili ya nje.

Kafa kwa corona virus.
 
Mkuu umepiga U-turn ya hatari kuna mahala ulikua unaelekea ghafla umegeuza kulikoni?

Tutajie yule Sangoma kwa list hiyo
 
Huyu ni Master sergeant Samuel Doe.
Yes
samuel-doe-liberia.jpg
 
Back
Top Bottom