Hebu nikueleze kuhusu simulizi ya kusikitisha lakini yenye nguvu kubwa inayotokea sasa nchini Zambia – simulizi ambayo kila dikteta wa Afrika anapaswa kuitafakari kwa makini.
Mwaka 2017, Edgar Lungu alikuwa Rais wa Zambia. Wakati huo, mpinzani wake mkubwa, Hakainde Hichilema, alikuwa tu kiongozi wa upinzani. Lungu hakupenda kupingwa, hivyo alifanya kama wanavyofanya viongozi wengi wa Afrika – alitumia nguvu za dola kuwaadhibu wapinzani wake. Hakainde alikamatwa na kufungwa gerezani.
Lakini mwaka 2021, mambo yalibadilika. Wananchi wa Zambia walipiga kura, na mezani zikageuka. Hakainde Hichilema akawa Rais. Edgar Lungu akawa sasa yuko upinzani... kimya, pembeni, hana tena mamlaka.
Kisha ulipofika mwaka 2025, Edgar Lungu akaugua vibaya. Hali yake ilihitaji matibabu ya haraka nje ya nchi. Familia yake iliomba ruhusa kwa Serikali ya Hakainde Hichilema ili apelekwe Afrika Kusini kwa ajili ya matibabu.
Lakini serikali inayoongozwa na yuleyule aliyewahi kumfunga – ikadaiwa ilichelewesha na kukwamisha juhudi hizo. Ruhusa haikutolewa kwa haraka. Mchakato ulikuwa wa kusuasua, na kila kuchelewa kulitonesha kidonda.
Ilipofika siku ya kuruhusiwa aende, tayari hali yake ilikuwa mbaya sana.
Alipowasili Afrika Kusini, afya yake ilikuwa imeshadhoofika mno. Ndani ya siku chache tu, Edgar Lungu akafariki dunia.
Sasa taifa linaomboleza, lakini uchungu katika moyo wa familia yake ni wa kina zaidi. Wanaamini kwamba kama serikali ingemruhusu kuondoka mapema, huenda bado angekuwa hai.
Katika uamuzi wa kishujaa na wa kihisia, familia imekataa msiba wa kitaifa. Hawataki serikali ambayo wanaiona kuwa chanzo cha mateso yake iwe sehemu ya maziko yake. Badala yake, wameamua kumzika Edgar Lungu Afrika Kusini.
Ndiyo, kwa mara ya kwanza katika historia ya Afrika, kiongozi wa zamani wa nchi atazikwa katika ardhi ya kigeni.
Simulizi hili siyo la Zambia pekee. Ni ujumbe kwa kila kiongozi wa Afrika anayetumia madaraka kunyanyasa wapinzani.
Madaraka ni ya muda tu. Wale unaowakandamiza leo wanaweza kuwa viongozi kesho. Na siku hiyo ikifika, watakutendeaje?
Hadithi ya Edgar Lungu iwe onyo. Usitumie madaraka kutesa watu. Kwa sababu haijalishi unapaa juu kiasi gani, ipo siku... mezani zitageuka.
Pumzika kwa amani Edgar Lungu.
NAONGEZEA: "Mabaya ya watu huendelea kuishi hata baada yao kufa."
Kauli hii inamaanisha kwamba madhara ya matendo mabaya ya mtu huendelea kuwaumiza wengine hata baada ya mtu huyo kufariki dunia, huku mema yake yakisahaulika kwa haraka. Kauli hii ilitolewa na Mark Antony katika tamthilia ya Shakespeare, Julius Caesar.
===================
copy and paste from Tweeter
Let me take you through a painful but powerful story that is happening in Zambia today, one that every African Dictator should pay close attention to.
In 2017, Edgar Lungu was the President of Zambia. At that time, his main rival, Hakainde Hichilema, was just an opposition leader. Lungu didn’t like being challenged, so he did what many African leaders do; he used state power to punish his opponents. He had Hakainde arrested and thrown into prison.
But in 2021, things changed. The people of Zambia voted, and the tables turned. Hakainde Hichilema became President. Edgar Lungu was now in the opposition... quiet, sidelined, no longer in control.
Then came 2025, and Edgar Lungu fell seriously ill. His condition needed urgent treatment abroad. His family requested permission from Hakainde Hichelema's Government for him to be flown to South Africa for medical care.
But the government led by the same man Lungu once imprisoned allegedly delayed and frustrated those efforts. The permission didn’t come quickly. The process was slow, and every delay made things worse.
By the time they finally allowed Lungu to travel, it was too late.
He landed in South Africa, but his health had already deteriorated too much. Within days, Edgar Lungu died.
Now the nation mourns, but the pain in his family’s heart is even deeper. They believe that if the government had allowed him to leave earlier, he might still be alive today.
In a bold and emotional decision, the family has refused a state funeral. They don’t want the government that they blame for his suffering to lay him to rest. Instead, they have decided to bury Lungu in South Africa.
Yes, for the first time in African history, a former head of state will be buried in a foreign land.
This is not just about Zambia. This is a message to all African leaders who use power to silence the opposition.
Power is temporary. The people you oppress today may lead you tomorrow. And when that day comes, how will they treat you?
Let Edgar Lungu’s story be a warning. Don’t use power to oppress people. Because no matter how high you rise, one day... the tables will turn.
Rest in Peace Edgar Lungu.
NAONGEZEA; The evils that men do live after them
The quote "The evils that men do live after them" means that the negative consequences of a person's actions often continue to affect others long after that person is gone, while the good they did may be forgotten. This idea is from Shakespeare's play Julius Caesar, spoken by Mark Antony.