Watawala, siku wateule wenu wakigeuziwa kibao kwenye kuchapana viboko hadharani, tutaomba mkae kimya kama mlivyochagua kukaa kimya sasa

Mimi mgeni?
 
Ni wew au account yako imekuwa hacked....!!?
 
Hivi sasa tunaona baadhi ya viongozi wa kuteuliwa, wanachapa watu viboko hadharani huku vitendo hivyo vikirekodiwa na picha kusambazwa mitandaoni...
Kweli kabisa, Magufuli analea Ujinga, asije akalaumu haya mambo yakimfika yeye, na yatamfika!
 
Kibanga amchapa mkoloni hahahaha.
 
Ni kweli kabisa. Bora wangepelekwa mahakamani kwa kuhujumu mali za umma na wengine kuwadhalilisha na kusafirisha binadam kwa manufaa ya kiuchumi.
 
Nani kashika simu ya huyu mtu? Atamletea matatizo jamani
 
Leo akili ya Lumumba umepeleka wapi? Haki ya nani utapata taabu wewe!!
 
Iko siku kuna mtu ataingia 18 ya kichaa
Na matokeo yake yatakuwa siyo
Akili ya mwadamu siyo

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…