Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Hivi una ushahidi kuwa alikuwa Muislam?Mimi siyo mwanahistoria ya dini ya kiisalamu ila Malkia Amina alikuwa mwislamu. Inawezekana nimekosea kwenye miaka ila eneo lote kaskazini mwa Nigeria ni waislamu kutokanana uzawa huo. Malkia yule alitawala kuanzia mwishoni mwa miaka ya 1500 hadi katikati ya miaka ya 1600. hHiyo ni zaidi ya miaka1000 tangu kuzaliwa kwa mwanzilishi wa uislamu!
Ulishuhudia akisilimishwa hata katika video clip kama wewe hukuwepo?
Jibu kinagaubaga tusonge mbele sheikh.