Watawala wa kike katika nchi za Kiislamu

Acha urongo,mtume mwamedi kazaliwa karne ya saba juzi tu hapa
Mkuu Ndukuzi,acha chuki zako na dharau kwa Mtume Muhammad(s.a.w.w).mwamedi ndiyo nani?
Mtume (s.a.w.w) kazaliwa 570AD
Kulingana na kalenda ya Kigregori,ufunuo wa kwanza kwa Mtume (s.a.w.w) ulikuja 12 Februari 610,kutojana na mahesabu ya Mahmud Pasha al-Falaki wa Misri.
{soma The life of Mohammed,London,1877 cha Sir William Muir}
 
Mimi siyo mwislamu, hivyo siwezi kujibu maswali ya dini nisiyojua; post yangu inahusu mtazamo wa jumla kijamii lakini siyo kidini.
Ww siyo muislam kwann unaandika mambo ambayo hujayafanyia uhakiki au kuyasoma kutoka kwa watu sahihi?Ndiyo maana unakwama unapobanwa
 
Mkuu Ndukuzi,acha chuki zako na dharau kwa Mtume Muhammad(s.a.w.w).mwamedi ndiyo nani?
Mtume (s.a.w.w) kazaliwa 570AD
Kulingana na kalenda ya Kigregori,ufunuo wa kwanza kwa Mtume (s.a.w.w) ulikuja 12 Februari 610,kutojana na mahesabu ya Mahmud Pasha al-Falaki wa Misri.
{soma The life of Mohammed,London,1877 cha Sir William Muir}
Karne ya sita shehe nilikosea,ila mwamedi mohammad ni jina moja tu hata akiitwa Mo sawa
 
Ingia google type ''Major ban for Arabian women in Arab countries'' utaona wanavyowanyanyasa wanawake

Foristance'

Women are not allowed :

- To try clothes when doing shopping (kujaribu Nguo kabla ya kununua)

- To compete freely in sports (kushindana ktk michezo)

- To interact with men (kuchanganyika na wanaume)

- To drive (kuendesha gari)

- Kwenda sokoni

Kazi yao muhimu ni kupika, kuzaa na kulea watoto basi
Bwana Azarel,wengi hawaujui Uislam hata baadhi ya Waislam wenyewe,ama ni wavivu wa kusoma kutoka vyanzi sahihi au au tu wanajua ukweli ila tu wanapotosha.
Hebu soma hii:
Dr. Annie Besant ktk "The Life and Teachings of Islam Madras June,1932 uk wa 25-26,anaandika:
"I often think that woman is more free in Islam than in Christianity.Woman is more protected by Islam than the faith which preaches monogamy.In al-Qur'an the law about woman is more just and liberal.IT IS ONLY IN THE LAST TWENTY YRARS THAT CHRISTIAN ENGLAND HAS RECOGNISED THE RIGHT OF WOMAN TO PROPERTY,WHILE ISLAM HAS ALLOWED THIS RIGHT FROM ALL TIMES"
Mtume Muhammad(s.a.w.w) amesema:
"Pepo ya mwanamume au mwanamke ipo chini ya unyayo wa mama yake."
Tujifunze kuandika ukweli hata kama hatuupendi.
 
@maranduhussein inawezekana unachokisema kipo katika Quran ila katika uhalisia kabisa wa maisha tunayoishi na matukio mbalimbali yanayotokea katika dunia yetu huwezi kubisha kuwa ''UISLAM UNAMNYANYASA MWANAMKE''

Nikisema nikupe ushahidi wa hilo hapa kuna ushahidi mwingi tu hata ukiingia google kusearch.

Ukristo haumnyanyasi mwanamke at all ndio maana hata madaraka kanisani wanapata ikihali Mwanamke wa kiislam hawezi kuwaongoza wanaume katika ibada.
 
Ww siyo muislam kwann unaandika mambo ambayo hujayafanyia uhakiki au kuyasoma kutoka kwa watu sahihi?Ndiyo maana unakwama unapobanwa
Huenda wewe nawe umesomea chini ya mti kama hao wengine walioandika hapo juu; mimi nimeandika kuhusu kuwepo kwa watawala wa kike katika nchi za kiislamu, sikuandika kuhusu dini ya uislamu. Mtu mmoja akaanza kueltga mambo ya dini ya uislamu, nikamwambi hayo mabo ya dini siyajui halafu wote waliosomea chini ya mti wakapiga vigelegele nikawaacha kusudi yaishie hapo, lakini wewe nawe upuuzi huo huo unaotokana na kutoelewa unayosoma, ukiona neno "kiislamu" basi wewe unaona dini tu.
 
@maranduhussein inawezekana unachokisema kipo katika Quran ila katika uhalisia kabisa wa maisha tunayoishi na matukio mbalimbali yanayotokea katika dunia yetu huwezi kubisha kuwa ''UISLAM UNAMNYANYASA MWANAMKE''

Nikisema nikupe ushahidi wa hilo hapa kuna ushahidi mwingi tu hata ukiingia google kusearch.

Ukristo haumnyanyasi mwanamke at all ndio maana hata madaraka kanisani wanapata ikihali Mwanamke wa kiislam hawezi kuwaongoza wanaume katika ibada.
Unanishangaza sana bwana Azarel,hivi jamii ya kufikirika ikikataza wizi na watu wakaiba,jamii ile itakua inashabikia wizi kwa kua tu watu wake wanafanya kilichokatazwa?
Unapoandika kwamba "ktk uhalisia kabis wa maisha tunayoishi na matukii mbalimbali" una maanisha nn?
Umeusoma Uislam halisi au unajifunza Uislam wa wake wanaojivika mabomu na kwenda kujilipua sokoni wakiamini kua watakwenda pepon?
 
Watu wengi huamaini kuwa nchi za kiislamu huwa haziwaheshimu wanawake na haziwezi kutawaliwa na wanawake. Hata hivyo miaka ya hivi karibuni imeonakana kuwa hilo siyo kweli kwani kule Pakistani walitawaliwa na mwanamke Benazir Bhutto kwa muda mrefu kabla hawajamuua.

Ninataka kuchokonoa historia ya mtawala mmoja wa kike kule Nigeria ya kaskazini kwenye jamii ya wahausa ambayo ni ya kiislamu kwa muda mrefu sana aliyekuwa akiitwa malkia Amina. Mama huyu alitawala takriban miaka 200 kabla ya ujio wa Usman dan Fodio ambaye ndiye anyejulikana sana eno hilo kihistoria. Amina alikuwa ni mtoto kwanza wa mfalme Nikatau aliyekuwa anatawala kule kaskazini mwa Nigeria. Alikuwa na wadogo zake watatu; mdogo wake wa kiume alikuwa mtoto wa pili wa mfalme Nikatau alikuwa akiitwa Karama, halafu mdogo wake wa kike alikuwa akiitwa Zaria; leo hii kuna mji kule kaskazini mwa Nigeria unaitwa Zaria kwa sababu ya huyu mdogo wake wa kike.

Amina alijifunza kupigana vita angali kigoli wakati akiwa anaishi na babu yake; baada ya baba yake kufa, mdogo wake wa kiume ndiye aliyerithi ufalme wakati Amina akiwa anendelea na maisha ya kijeshi ya kupigana vita aliyokuwa amejifunza kutoka kwa babu yake; alikuwa msichana mrembo sana ambaye pamoja na ushujaaa wake wa kijeshi wanaume wengi walitaka kumwoa lakini hakuna aliyefanikiwa. Baada ya kukaa madarakani kwa miaka kumi, kaka yake, yaani mfalme Karama, naye alifariki, na hivyo Amina kuchukua mamlaka ya kuwa mtawala wa eneo hilo akijulikana kama malkia Aminatu.

Malkia Aminatu anakumbukuwa sana kwa kuliendeleza eneo la Zaria hadi kuwa kitovu kikubwa cha biashara kaskazini mwa Nigeria kama ilivyo leo.
Bado hujanishawishi na hizi porojo zako, Kiufupi nchi za kiislamu haziwapi nafasi ya uongozi wanawake
 
Unanishangaza sana bwana Azarel,hivi jamii ya kufikirika ikikataza wizi na watu wakaiba,jamii ile itakua inashabikia wizi kwa kua tu watu wake wanafanya kilichokatazwa?
Unapoandika kwamba "ktk uhalisia kabis wa maisha tunayoishi na matukii mbalimbali" una maanisha nn?
Umeusoma Uislam halisi au unajifunza Uislam wa wake wanaojivika mabomu na kwenda kujilipua sokoni wakiamini kua watakwenda pepon?
Hivi unajua kusoma na kuelewa? Kuna mahala nimekuambia kuwa nimesoma uislam?

Nimekuambia kuwa inawezekana ni kweli kuwa Quran inatetea wanawake na haiwanyanyasi ila katika uhalisia SIVYO, na ushahidi upo na tumeweka hapa.

Sasa kama wewe una ushahidi kuwa uislam unapendelea na sio kunyanyasa wanawake weka MIFANO na USHAHIDI hapa.
 
Bado hujanishawishi na hizi porojo zako, Kiufupi nchi za kiislamu haziwapi nafasi ya uongozi wanawake
Hiyo siyo porojo ndugu yangu; ni historia ya mambo yaliyotokea takriban miaka 400 iliyopita. Amina alitawala eneo lile likiwa la kiislamu labda usema kuwa himaya hiyo haikuwa ya kiisalamu ndipo utoe uhsahidi kuonyesha kuwa haikuwa ya kiisalamu. Ni afadhali kupokea mambo na kuyaacha yalivyo kuwa yalitokea zamani kuliko kuyapinga wakati huwezi kubadilisha ukweli huo.
 
Hivi unajua kusoma na kuelewa? Kuna mahala nimekuambia kuwa nimesoma uislam?

Nimekuambia kuwa inawezekana ni kweli kuwa Quran inatetea wanawake na haiwanyanyasi ila katika uhalisia SIVYO, na ushahidi upo na tumeweka hapa.

Sasa kama wewe una ushahidi kuwa uislam unapendelea na sio kunyanyasa wanawake weka MIFANO na USHAHIDI hapa.
Unaonekana ww ni mkorofi.Bwn.Azarel,kabla cjaweka mifano,unaona ni haki mtu kuzungumzia jambo asilolijua? umeandika kwamba "inawezekana ni kweli......." maana yake ni kwamba hujui ni kweli unamnyanyasa au haumnyanyasi mwanamke.
Unawezaje kuhukumu eti Uislam unamnyanyasa mwanamke kwa kuangalia "uhalisia wa maisha ktk jamii"
Bwn.twende mdo mdo ukweli haujifichi hata ufichwe vp.
 
Haya,Usiyempenda kaja

Uislam unakandamiza wanawake hata tukisoma Quran na ahadith ...wewe unasemaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaonekana ww ni mkorofi.Bwn.Azarel,kabla cjaweka mifano,unaona ni haki mtu kuzungumzia jambo asilolijua? umeandika kwamba "inawezekana ni kweli......." maana yake ni kwamba hujui ni kweli unamnyanyasa au haumnyanyasi mwanamke.
Unawezaje kuhukumu eti Uislam unamnyanyasa mwanamke kwa kuangalia "uhalisia wa maisha ktk jamii"
Bwn.twende mdo mdo ukweli haujifichi hata ufichwe vp.
Una tatizo kichwani kijana wa Mwamedi, nina ushahidi kuwa unawanyanyasa na ndio maana nimeweka ushahidi huo hapo juu.

Wewe unaesema hauwanyanyasi ''THIBITISHA HILO''
 
Unaonekana ww ni mkorofi.Bwn.Azarel,kabla cjaweka mifano,unaona ni haki mtu kuzungumzia jambo asilolijua? umeandika kwamba "inawezekana ni kweli......." maana yake ni kwamba hujui ni kweli unamnyanyasa au haumnyanyasi mwanamke.
Unawezaje kuhukumu eti Uislam unamnyanyasa mwanamke kwa kuangalia "uhalisia wa maisha ktk jamii"
Bwn.twende mdo mdo ukweli haujifichi hata ufichwe vp.
Tuwekee huo ukweli hapa, usiletee tarawee na madufu uchwara

We need facts in here,
 
Back
Top Bottom