maranduhussein
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 275
- 140
citizen B Mkristu sio kafiri,ulukua hujui?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
citizen B Mkristu sio kafiri,ulukua hujui?
kwani nini maana ya kafircitizen B Mkristu sio kafiri,ulukua hujui?
Ha haaaWrite your reply...
NINASUBIRI JIBU LA juu ya swali je uislamu unasemaje kuhusu kutawaliwa na mwanamke? T
Anayekanusha uwepo wa Mwenyezi Mungu, anayepinga siku ya kiyama, au yeyote anayekanusha wajibu ktk wajibu wa kidini.
Msaada tutani:Wayahudi si waarabu. Acha kupotosha watu. Kuwepo Wapalestina si kuwafanya Waisrael kuwa Waarabu. Nimeona nikuweke sawa sawa katika hili. Tafuta nchi ya Kiarabu ambayo ilitawaliwa na Mwanamke Achana Nigeria isnt an Islamic State/Country.
Nigeria ya kaskazini iliwahi kuwa nchi?. Au ulimaanisha himaya/utawala?Siyo Nigeria yote, ila Nigeria ya kasakzini ni nchi ya kiislamu tangu karne ya sita.
Enzi ya Malkia Aminata hakukuwa na Nigeria, ilikuwa ni tawala mbali mbali za majimbolNigeria imekuwa nchi ya kiislam mwaka gani?
Neno Africa lilikuja baadae kabisa karne ya 16tu, na ilitokana na neno la Kigiriki A'phrike maana yake sehemu isiyo na baridi (yaani kama ilivyo sehemu kubwa ya ulaya)Unamaanisha nini unaposema Afrika haikuwepo?
Kwa maana hiyo ni sawa. I thought unamaanisha Afrika kwa maana ya eneo la kijiografia halikuwepo!Neno Africa lilikuja baadae kabisa karne ya 16tu, na ilitokana na neno la Kigiriki A'phrike maana yake sehemu isiyo na baridi (yaani kama ilivyo sehemu kubwa ya ulaya)
Mwasisi wa neno hilo aliitwa Africanus
Huyo mwanamke alitawalaje miaka 200?,kwa hiyo aliishi miaka mingapi?,huu si uongo mwingine kweli?Watu wengi huamaini kuwa nchi za kiislamu huwa haziwaheshimu wanawake na haziwezi kutawaliwa na wanawake. Hata hivyo miaka ya hivi karibuni imeonakana kuwa hilo siyo kweli kwani kule Pakistani walitawaliwa na mwanamke Benazir Bhutto kwa muda mrefu kabla hawajamuua.
Ninataka kuchokonoa historia ya mtawala mmoja wa kike kule Nigeria ya kaskazini kwenye jamii ya wahausa ambayo ni ya kiislamu kwa muda mrefu sana aliyekuwa akiitwa malkia Amina. Mama huyu alitawala takriban miaka 200 kabla ya ujio wa Usman dan Fodio ambaye ndiye anyejulikana sana eno hilo kihistoria. Amina alikuwa ni mtoto kwanza wa mfalme Nikatau aliyekuwa anatawala kule kaskazini mwa Nigeria. Alikuwa na wadogo zake watatu; mdogo wake wa kiume alikuwa mtoto wa pili wa mfalme Nikatau alikuwa akiitwa Karama, halafu mdogo wake wa kike alikuwa akiitwa Zaria; leo hii kuna mji kule kaskazini mwa Nigeria unaitwa Zaria kwa sababu ya huyu mdogo wake wa kike.
Amina alijifunza kupigana vita angali kigoli wakati akiwa anaishi na babu yake; baada ya baba yake kufa, mdogo wake wa kiume ndiye aliyerithi ufalme wakati Amina akiwa anendelea na maisha ya kijeshi ya kupigana vita aliyokuwa amejifunza kutoka kwa babu yake; alikuwa msichana mrembo sana ambaye pamoja na ushujaaa wake wa kijeshi wanaume wengi walitaka kumwoa lakini hakuna aliyefanikiwa. Baada ya kukaa madarakani kwa miaka kumi, kaka yake, yaani mfalme Karama, naye alifariki, na hivyo Amina kuchukua mamlaka ya kuwa mtawala wa eneo hilo akijulikana kama malkia Aminatu.
Malkia Aminatu anakumbukuwa sana kwa kuliendeleza eneo la Zaria hadi kuwa kitovu kikubwa cha biashara kaskazini mwa Nigeria kama ilivyo leo.
Pumba tupu wewe hujui kusoma; post hiyo haikusema alitawala kwa miaka 200 bali imesema alitawala miaka 200 kabla ya ujio wa Osman Dan Fodio. Unatakaiwa ujue Usman dan Fodio alitawala lini halafu uondoe miaka 200 kujua Malkia Amina alitawala lini. Wewe ulisomea shule gani ili nikaongee na mwalimu mkuu akunyang'anye cheti ??Huyo mwanamke alitawalaje miaka 200?,kwa hiyo aliishi miaka mingapi?,huu si uongo mwingine kweli?
Hilo ndo Jibu la swali langu?Enzi ya Malkia Aminata hakukuwa na Nigeria, ilikuwa ni tawala mbali mbali za majimbol
Uislam wenyewe umeanza karne ya saba
KwahiyoNigeria waisilamu ni wengi kuliko wasio waisilamu
Kwahiyo