Hivi una ushahidi kuwa alikuwa Muislam?Mimi siyo mwanahistoria ya dini ya kiisalamu ila Malkia Amina alikuwa mwislamu. Inawezekana nimekosea kwenye miaka ila eneo lote kaskazini mwa Nigeria ni waislamu kutokanana uzawa huo. Malkia yule alitawala kuanzia mwishoni mwa miaka ya 1500 hadi katikati ya miaka ya 1600. hHiyo ni zaidi ya miaka1000 tangu kuzaliwa kwa mwanzilishi wa uislamu!
Ingia google type ''Major ban for Arabian women in Arab countries'' utaona wanavyowanyanyasa wanawakeWrite your reply...
NINASUBIRI JIBU LA juu ya swali je uislamu unasemaje kuhusu kutawaliwa na mwanamke? T
Umeulizwa Nigeria imekuwa nchi ya kiislam tangu lini?Hata kama lakini ina waislamu wengi kuliko dini zote. Na kama unabisha nitakuwekea facts
ila sio nchi ya kiislam(islamic state)Hata kama lakini ina waislamu wengi kuliko dini zote. Na kama unabisha nitakuwekea facts
inayouma kuliko zote kwenye sharia iliyonona hawaruhusiwi kwenda sehem yoyote bila ruhusa ya mwanaume. Kwahyo hata akitaka kutoroka atadakwa airport aombwe ruhusaIngia google type ''Major ban for Arabian women in Arab countries'' utaona wanavyowanyanyasa wanawake
Foristance'
Women are not allowed :
- To try clothes when doing shopping (kujaribu Nguo kabla ya kununua)
- To compete freely in sports (kushindana ktk michezo)
- To interact with men (kuchanganyika na wanaume)
- To drive (kuendesha gari)
- Kwenda sokoni
Kazi yao muhimu ni kupika, kuzaa na kulea watoto basi
Hii dini ina mateso sana kwa wanawake. Bado akiolewa analetewa wakewenza wengine wanne.inayouma kuliko zote kwenye sharia iliyonona hawaruhusiwi kwenda sehem yoyote bila ruhusa ya mwanaume..kwahyo hata akitaka kutoroka atadakwa airport aombwe ruhusa
Ndugu kuna nchi ya waislamu na nchi ya kiislamu.Hata kama lakini ina waislamu wengi kuliko dini zote. Na kama unabisha nitakuwekea facts
Naam mkuu huo ndio utaratibu wa uislamu.inayouma kuliko zote kwenye sharia iliyonona hawaruhusiwi kwenda sehem yoyote bila ruhusa ya mwanaume..kwahyo hata akitaka kutoroka atadakwa airport aombwe ruhusa
[emoji23][emoji23]haha,, it's one thing to be gullible ...and its totally another thing to like being gullibleNaam mkuu huo ndio utaratibu wa uislamu.
Utaratibu bora kabisa wenye kulinda heshima katika dunia.
nmesoma shule za kiislam nmekaa na waislam...waschana weng hii kitu ya kuolewa wanne huwa hawapendi kinoma.Hii dini ina mateso sana kwa wanawake. Bado akiolewa analetewa wakewenza wengine wanne.
Haikuwa bahari, ilikuwa ni bara, yaani eneo kubwa la nchi kavu (so the opposite is true) hakukuwa na hizi nchi zilizopo Leo kama Nigeria, nchi zimekuja kuwapo baadae ukiacha Ethiopia na Egypt tu.Ilikuwa bahari?
Na mie nashangaaNigeria imekuwa nchi ya kiislam mwaka gani?
Unazungumza majina yanayotumika kuzitambulisha nchi, huzungmuzii nchi sehemu ya ardhi yenye watu wanaojitambulisha kwa maskani yao ambayo in mipaka yake. Himaya ya amina ilikuwa inaitwa Zazzau, ambayo leo hii inajulikana kama Kaduna ndani ya Nigeria. Eneo hilo lilikuwa la kiisalamu tangu miaka ya mwazo ya uislamu.Haikuwa bahari, ilikuwa ni bara, yaani eneo kubwa la nchi kavu (so the opposite is true) hakukuwa na hizi nchi zilizopo Leo kama Nigeria, nchi zimekuja kuwapo baadae ukiacha Ethiopia na Egypt tu.
Hahaha, umeanza kuubadilisha gia angani. Sio nchi ya Nigeria tena, Well, tuwekee ushahidi wa kusilimu kwake na haya mengine pia.Unazungumza majina yanayotumika kuzitambulisha nchi, huzungmuzii nchi sehemu ya ardhi yenye watu wanaojitambulisha kwa maskani yao ambayo in mipaka yake. Himaya ya amina ilikuwa inaitwa Zazzau, ambayo leo hii inajulikana kama Kaduna ndani ya Nigeria. Eneo hilo lilikuwa la kiisalamu tangu miaka ya mwazo ya uislamu.
Na wewe ninaona kuwa una matatizo ya kusoma na kuelewa mambo; mimi niliandika kuwa "..... mtawala wa kike kule Nigeria ya kaskazini kwenye jamii ya wahausa ambayo ni ya kiislamu kwa muda mrefu sana aliyekuwa akiitwa malkia Amina."Hahaha, umeanza kuubadilisha gia angani. Sio nchi ya Nigeria tena, Well, tuwekee ushahidi wa kusilimu kwake na haya mengine pia.
Ndugu kuna nchi ya waislamu na nchi ya kiislamu.
Nchi ya kiislamu ni ile inayoongozwa na sheria za kiislamu.
Nchi ya waislamu ni ile ambayo ina waislamu wengi kama vile zanzibar n.k
Sasa unapochanganya hayo inakuwa ngumu kutetea hoja
ila sio nchi ya kiislam(islamic state)