Watawala wa kike katika nchi za Kiislamu

Hiyo ni tafsiri yako wewe
 

Ndiomaana nikasema hamjui kuitafsiri Qur'an.

Astaghfirullah. Aya ipi katika Qur'an inayosema Allah ana mikono miwili? Naomba uthibitishe ilo.

Vilevile naomba aya inayosema wanapata thawabu watu ambao wanauwa watu wasioamini uisilamu!!!!
 
Ndiomaana nikasema hamjui kuitafsiri Qur'an.

Astaghfirullah. Aya ipi katika Qur'an inayosema Allah ana mikono miwili? Naomba uthibitishe ilo.

Vilevile naomba aya inayosema wanapata thawabu watu ambao wanauwa watu wasioamini uisilamu!!!!

Quran 9:29 Fight those who do not believe in Allah or in the Last Day and who do not consider unlawful what Allah and His Messenger have made unlawful and who do not adopt the religion of truth from those who were given the Scripture - [fight] until they give the jizyah willingly while they are humbled.

Quran 9:5
But when the forbidden months are past, then fight and slay(kuchinja) the Pagans(Wa-Hadzabe , Wamasai, Watindiga) wherever ye find them, an seize them, beleaguer them, and lie in wait for them in every stratagem (of war); but if they repent, and establish regular prayers and practise regular charity, then open the way for them: for Allah is Oft-forgiving

Surah 9:5 “Then kill the disbelievers (non-Muslims) wherever you find them, capture them and besiege them, and lie in wait for them in each and every ambush ...”

Surah 3:151
“We shall cast terror into the hearts of those who disbelieve (all non-Muslims) ...

Qur'an 5:33 "The recompense of those who fight Allah and His messenger, and seek to make corruption in the land, is that they be killed or crucified or that cut their hands and feet be cut off from alternate sides or that they be banished from the land; that is their disgrace in this world and in the Hereafter they will have a great torment




 

Sura Al-Ikhlas(The Purity)
بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ
Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.

اللَّهُ الصَّمَدُ
Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.


لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ
Hakuzaa wala hakuzaliwa.


وَلَمْ يَكُنْ لَهُ كُفُوًا أَحَدٌ
Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.
 

hivi we unazungumzia uislamu au unamzungumzia mtume Muhammad?!! Kuna hajaa ya kuwasiliana na wajuzi wakuelimishe.....bahati mbaya mi si mmojawao ktk wajuao, ningelikupa darsa
 
Asante namimi nakujibu kitoto kwasababu umeniuliza swali lla wastani wa kitoto
Inamaana na nyie ukoo wenu mzima mkienda kuishi ulaya ndio mtakuwa wazungu?
Jifunze kuelewa tofauti kati ya nchi ya kiislamu na uislamu ni nini na asili yake na umekujaje africa nk
kuukimbia ukweli haina maana ndio kupona
 
Ukiitwa mjinga utaona unaonewa kumbe ni mjnga kweli tena kweli kweli.
Kwanza kwa msaada ili ufahamu kuwa wewe ni mjinga, tofautisha Hadith na Quran, pili tafsiri ya hata Biblia ni elimu na sio majinun kama wewe unaweza kuelewa bila kueleweshwa.
Umeambiwa weka ushahidi wa Quran unaleta mapokeo ya Hadith. Pia kwa ujinga wako tena uulize kwenye Hadith kuna Dhaif ambazo hazina uthibitisho kuwa Muhammad alitamka au laa, kwahiyo hilo la Hadith ni taalum sio kila kichaa anaweza kutafsiri anavyopenda.
 

Naona bado huwelewi chifu,,,,ukoo we2 uende europe wakati uko kuna wenye nchi yao ambao ni wazungu, na ndiyo many more zaid yawageni!


Chukulia nchi kama Sudan utasema co nchi yakiisilamu!!!!!, kwann nigeria ikiwa na waisilamu wengi icwe inchi yakiisilamu!

Zanzibar ina waisilamu wingi kuliko waco waisilamu but itaenderea kuwa inchi yakiisilamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…