Watawala wa kike katika nchi za Kiislamu

Watawala wa kike katika nchi za Kiislamu

ukisoma vyema mzee utajua yakuwa uslamu umepandikizwa tuu baadaye sana wala hiyo nchi huwezi sema nchi ya kiislamu
napenda tukiongelea africa tungelee zaidi kulingana na uhalisia wa asili zetu,
nivyema kutumia marejeo ya bwafrica wenzetu kuliko hao wakoloni koloni tu

Hebu nikuulize swali hata mtoto aweza jibu. Kwa sasa Nigeria ina waisilamu wengi kuliko waco waisilamu. Sasa swali langu ni hili, iyo idadi ndogo iliobakia ya waco waisilamu mwisho wa cku nao wakaingia kwenye uisilamu, bado utasema Nigeria co nchi yakiisilamu?
 
Mlolongi unakosea sana kumuita mwenzako kafiri.
Hivi Mkristu nae ni kafir?
Ni lini tutaelimika??????

Wewe ni muisilamu ama umesilimu ivi karibuni ukayapuuza mafundisho ya dini!!! hujui hata kafiri ni nani!!!

Au nikupatie maana yake?
 
Nimesema nchi za kiislamu, siyo nchi za kiarabu. Ukishasema uarabuni, usisahau kuwa hata israel ni sehemu ya uarabuni ambayo licha ya wayahudi ina pia waislamu wengi sana na iliwahikutawaliwa na mwanamke Golda Meir
Hao Waislamu wengi ni asilimia ngapi ya population ya nchi ya Israel?
 
Maana ya 'kafiri' ni kila asiekuwa Muislamu. Kama kuna mtu anakereka na kukwazika kwa kuitwa kafiri, njia ya kuepukana na hilo awe Muislamu
Hahahah Yani Ni Sawa Na Mo akereke kuitwa boss ...Akatupe Hela Zake zote baharini
 
Watu wengi huamaini kuwa nchi za kiislamu huwa haziwaheshimu wanawake na haziwezi kutawaliwa na wanawake. Hata hivyo miaka ya hivi karibuni imeonakana kuwa hilo siyo kweli kwani kule Pakistani walitawaliwa na mwanamke Benazir Bhutto kwa muda mrefu kabla hawajamuua.

Ninataka kuchokonoa historia ya mtawala mmoja wa kike kule Nigeria ya kaskazini kwenye jamii ya wahausa ambayo ni ya kiislamu kwa muda mrefu sana aliyekuwa akiitwa malkia Amina. Mama huyu alitawala takriban miaka 200 kabla ya ujio wa Usman dan Fodio ambaye ndiye anyejulikana sana eno hilo kihistoria. Amina alikuwa ni mtoto kwanza wa mfalme Nikatau aliyekuwa anatawala kule kaskazini mwa Nigeria. Alikuwa na wadogo zake watatu; mdogo wake wa kiume alikuwa mtoto wa pili wa mfalme Nikatau alikuwa akiitwa Karama, halafu mdogo wake wa kike alikuwa akiitwa Zaria; leo hii kuna mji kule kaskazini mwa Nigeria unaitwa Zaria kwa sababu ya huyu mdogo wake wa kike.

Amina alijifunza kupigana vita angali kigoli wakati akiwa anaishi na babu yake; baada ya baba yake kufa, mdogo wake wa kiume ndiye aliyerithi ufalme wakati Amina akiwa anendelea na maisha ya kijeshi ya kupigana vita aliyokuwa amejifunza kutoka kwa babu yake; alikuwa msichana mrembo sana ambaye pamoja na ushujaaa wake wa kijeshi wanaume wengi walitaka kumwoa lakini hakuna aliyefanikiwa. Baada ya kukaa madarakani kwa miaka kumi, kaka yake, yaani mfalme Karama, naye alifariki, na hivyo Amina kuchukua mamlaka ya kuwa mtawala wa eneo hilo akijulikana kama malkia Aminatu.


Malkia Aminatu anakumbukuwa sana kwa kuliendeleza eneo la Zaria hadi kuwa kitovu kikubwa cha biashara kaskazini mwa Nigeria kama ilivyo leo.
Sisi amina wetu wapo wanachimba viazi tu
 
Kwa sasa nchi zinazoongozwa Kwa Sheria za kiislam mi Iran Azabaijan Brunei maleysia Somalia Yemeni Saudi Arabia Mauritania Pakistan Nigeria kaskazin saiv nao Wana utawala wa kiislam huko kaskazin hata mahakama huko wanatumia Sharia chechinia kama kuna nyingine mtaongeza
Kwani Nigeria Kaskazini ni nchi?
 
Alafu kuna mavi-mavi anapita na kusema Uislam dini ya Amani. Tuone Matendo na sio maneno mengi. Ni Bora kukaa kama wa-Hadzabe, wa-Datoga na wa-Tindiga. Mana hawa sio wakatili licha ya kutojua nini mana ya MUNGU

Ukilinganisha kijinga hivyo, akina Hitler, Mussolini na Stalin walikuwa waislamu?
 
Wewe umeuliza kama Nigeria ina utawala wa uisilamu, mimi nimekujibu kuwa enzi za utawala wa Aminata hakukuwa na Nigeria kama ilivyo sasa. Umeelewa lakini?
Kwahyo Jibu la swali langu Ni ndiyo au hapana?ukiondoa blah blah nyingi
 
Usilinganishe kuchimba viazi Na vitu vya kijinga wewe....kwenye viazi unatumia akili nyingi...inabidi ujue maeneo yenye viazi,style ya kuvichimba Na speed ya kuvichimbia kuepuka kuchafuka....inahitaji akili Hyo Mzee sio kama Kuongoza maislam unasoma Raqat mbili, unaongezea kakiarabu ka kinafiki yenyewe yatafata chochote unachosema...
Ukimwambia dem Kwa kiarabu "nipe ****" ,anakupa ....ila ukimwambia Kiswahili hawezi....
niueni
 
Kama Hilter Alikuwa Mkristo Je Kwani Aliwauwa Wa Israel(Taifa La MUNGU).Hitler hakuwa mkristo bali alizaliwa katika familia ya kikristo na kupewa jina la kikristo. Ukristo haukuwa dini ukristo ulikuwa ni matendo yanayo fanana na Yesu Kristo, Yesu hakufundisha hekaluni , alifundisha kwa njia ya mkutano/makongamano na alifukuzwa na makuhani hekaluni. So kwenye Biblia hakuna Mstari wowote wa kiugadi , ila kama utataka nitaweka mistari ya kuran ya kiugaidi , Na Taliban , Al Queda wote ni vijana walio katika msimamo wa kidini ya Kiislamu - chini ya Quaran

Tatizo lenu hamjui kuitafasiri Qur'an. Unatasiri unavyotaka wewe, akili ya wapi iyo
 
Back
Top Bottom