Na kwa namna hiyo wote wamwagao damu na kutothamini uhai wamelaaniwa.Mkitaka kujua hakuna Mtawala anayewapenda Watanzania, utawagundua wakati wa matatizo. Kuna mtu mmiha wa huko Zimbabwe kafa sijui na mie wake, kila Kiongozi wa Tanzania kuanzia anayejiita Rais na wanaojiita Mawaziri wanamlilia hadi wanadiliki kwenda kuzika.
Lakini Morogoro ajali ya Magari imeua watu zaidi ya 30, hakuna hata anayejali wala kutoa pole.
Awamu ya Sita imejaa laana. Viongozi walozoea kumwaga dammu, hawashitushwi na Wanananchi wao kufa.
Mume wa samia taarifa ilitoka baada muda gani? Alizikwa baada ya muda gani? Unamanisha nini kusema ni mapema mno?Ni mapema sana kuhukumu
Kwani ishapita 24hrs? Mbona mna chuki sana nyie wafuasi wa Kittima?Mkitaka kujua hakuna Mtawala anayewapenda Watanzania, utawagundua wakati wa matatizo. Kuna mtu mmiha wa huko Zimbabwe kafa sijui na mie wake, kila Kiongozi wa Tanzania kuanzia anayejiita Rais na wanaojiita Mawaziri wanamlilia hadi wanadiliki kwenda kuzika.
Lakini Morogoro ajali ya Magari imeua watu zaidi ya 30, hakuna hata anayejali wala kutoa pole.
Awamu ya Sita imejaa laana. Viongozi walozoea kumwaga dammu, hawashitushwi na Wanananchi wao kufa.
Watu 30 wamefariki dunia papo hapo katika ajali iliyohusisha lori aina ya Scania lililokuwa limebeba miti aina ya milunda na basi la abiria lililokuwa likitoka Dar es Salaam kuelekea Mbeya.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Morogoro, Joseph Mwasabeja, ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia leo Ijumaa, Oktoba 9, 2026, eneo la Mkambarani, barabara ya Morogoro-Dar es Salaam.
Inasikitisha sana,binadamu sisi ni wanafiki wa kiwango cha lami.Mkitaka kujua hakuna Mtawala anayewapenda Watanzania, utawagundua wakati wa matatizo. Kuna mtu mmiha wa huko Zimbabwe kafa sijui na mie wake, kila Kiongozi wa Tanzania kuanzia anayejiita Rais na wanaojiita Mawaziri wanamlilia hadi wanadiliki kwenda kuzika.
Lakini Morogoro ajali ya Magari imeua watu zaidi ya 30, hakuna hata anayejali wala kutoa pole.
Awamu ya Sita imejaa laana. Viongozi walozoea kumwaga dammu, hawashitushwi na Wanananchi wao kufa.
Watu 30 wamefariki dunia papo hapo katika ajali iliyohusisha lori aina ya Scania lililokuwa limebeba miti aina ya milunda na basi la abiria lililokuwa likitoka Dar es Salaam kuelekea Mbeya.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Morogoro, Joseph Mwasabeja, ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia leo Ijumaa, Oktoba 9, 2026, eneo la Mkambarani, barabara ya Morogoro-Dar es Salaam.
Kwa Chivuyo pole iliyoka ndani ya masaa mawili. Lakini kwa Watanganyika 30 pole tusubiri masaa 24. Una akili timamu? Yule Hafidh alipokufa, alizikwa ndani ya masaa 8. Mbona hukuhoji saa 24? Yaani kwa Teknolojia ya saa kwamba hawajapata taarifa? Sema wanatuona kama Mang'ombe tu.. Nobone caresKwani ishapita 24hrs? Mbona mna chuki sana nyie wafuasi wa Kittima?
ok.πMkitaka kujua hakuna Mtawala anayewapenda Watanzania, utawagundua wakati wa matatizo. Kuna mtu mmiha wa huko Zimbabwe kafa sijui na mie wake, kila Kiongozi wa Tanzania kuanzia anayejiita Rais na wanaojiita Mawaziri wanamlilia hadi wanadiliki kwenda kuzika.
Lakini Morogoro ajali ya Magari imeua watu zaidi ya 30, hakuna hata anayejali wala kutoa pole.
Awamu ya Sita imejaa laana. Viongozi walozoea kumwaga dammu, hawashitushwi na Wanananchi wao kufa.
Watu 30 wamefariki dunia papo hapo katika ajali iliyohusisha lori aina ya Scania lililokuwa limebeba miti aina ya milunda na basi la abiria lililokuwa likitoka Dar es Salaam kuelekea Mbeya.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Morogoro, Joseph Mwasabeja, ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia leo Ijumaa, Oktoba 9, 2026, eneo la Mkambarani, barabara ya Morogoro-Dar es Salaam.
View attachment 3687402
Samia hadi akosolewe ndo atekeleze. Baada ya kuona bandiko akaagiza pole itolewe. Kwanini asingesema kabla ya mtu kuanzisha thread. Ajali imetoa usiku pole inatolewa Jioni. Wakisubiri nini kutoa pole. Hadi watu wawaseme ndo wafanye?ok.π
Serikali sikivu ya CCM,Samia hadi akosolewe ndo atekeleze. Baada ya kuona bandiko akaagiza pole itolewe. Kwanini asingesema kabla ya mtu kuanzisha thread. Ajali imetoa usiku pole inatolewa Jioni. Wakisubiri nini kutoa pole. Hadi watu wawaseme ndo wafanye?
Inasikitisha sana, pole nyingi kwa Watanzania wenzangu, Ndugu, Jamaa na Marafiki. Tunawaombea faraja kuu katika hili janga.Mkitaka kujua hakuna Mtawala anayewapenda Watanzania, utawagundua wakati wa matatizo. Kuna mtu mmiha wa huko Zimbabwe kafa sijui na mie wake, kila Kiongozi wa Tanzania kuanzia anayejiita Rais na wanaojiita Mawaziri wanamlilia hadi wanadiliki kwenda kuzika.