Watawala wetu liokoe taifa na maangamizi, watu wanachuki na haya yanayoendelea, wanaogopa kusema

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Ukweli ni huu:
1. Watu vifua vimejaa chuki. Mnadanganywa na wanaotafuta matumbo yao kushiba, lakini wananchi walio wengi by over 99% hawako/hawalidhishwi na yanayoendelea! mnayoyafanya nyinyi watawala.

2. Na Machawa wanajua fika kuwa huku mitaani kumejaa chuki dhidi yenu. Bado mnaweza kufanya reformation na chuki zikatoka kwenye vifua vya watu.

3. Liokoe taifa na yajayo! Bado watawala hamjachelewa, muda umebaki wa kutosha/kidog. Liokoe taifa!
 
Hawana muda na kenge...maana hivyo ndivyo wanavyotuona!
 
Ushauri mzuri sana mkuu ila kwa aliyezoea vya kunyonga, vya kuchinja haviweza.

Wanaua, wanateka, wanaiba, wanauza nchi ...... daaah Mungu atusaidie
 
Akitokea mfadhili akagawa magobole hii nchi inaenda kuwa kama Somalia ya Bare.
 
Ukweli ni huu:
1. Watu vifua vimejaa chuki. Mnadanganywa na wanaotafuta matumbo yao kushiba, lakini wananchi walio wengi by over 99% hawako/hawalidhishwi na yanayoendelea! nayoyafanya nyinyi watawala.

2. Na Machawa wanajua fika kuwa huku mitaani kumejaa chuki dhidi yenu. Bado mnaweza kufanya reformation na chuki zikatoka kwenye vifua vya watu.

3. Liokoe taifa na yajayo! Bado watawala hamjachelewa, muda umebaki wa kutosha/kidog. Liokoe taifa!
Chuki za wanachadema chakavu zitakutana na zuio la Mungu mkuu na wataishia kuzusha na kuumbuka hivi hivi....
 
Sidhani kama watajisumbua kufanya yaliyo mema.Wanawaza Oktoba imekaaje.Wameacha nchi ijisumbukie yenyewe.
 
Ukweli ni huu:
1. Watu vifua vimejaa chuki. Mnadanganywa na wanaotafuta matumbo yao kushiba, lakini wananchi walio wengi by over 99% hawako/hawalidhishwi na yanayoendelea! mnayoyafanya nyinyi watawala.

2. Na Machawa wanajua fika kuwa huku mitaani kumejaa chuki dhidi yenu. Bado mnaweza kufanya reformation na chuki zikatoka kwenye vifua vya watu.

3. Liokoe taifa na yajayo! Bado watawala hamjachelewa, muda umebaki wa kutosha/kidog. Liokoe taifa!
Kufa kwa kenge mpaka atoke damu kwenye masikio,
 
Back
Top Bottom