Chuki za wanachadema chakavu zitakutana na zuio la Mungu mkuu na wataishia kuzusha na kuumbuka hivi hivi....Ukweli ni huu:
1. Watu vifua vimejaa chuki. Mnadanganywa na wanaotafuta matumbo yao kushiba, lakini wananchi walio wengi by over 99% hawako/hawalidhishwi na yanayoendelea! nayoyafanya nyinyi watawala.
2. Na Machawa wanajua fika kuwa huku mitaani kumejaa chuki dhidi yenu. Bado mnaweza kufanya reformation na chuki zikatoka kwenye vifua vya watu.
3. Liokoe taifa na yajayo! Bado watawala hamjachelewa, muda umebaki wa kutosha/kidog. Liokoe taifa!
Mamamamamamayo!Akitokea mfadhili akagawa magobole hii nchi inaenda kuwa kama Somalia ya Bare.
Unasema kama punguani, likitoke la kutokea you will never be sparedChuki za wanachadema chakavu zitakutana na zuio la Mungu mkuu na wataishia kuzusha na kuumbuka hivi hivi....
Acha matusi.Mamamamamamayo!
Somalia tena ya bei ya jioniAkitokea mfadhili akagawa magobole hii nchi inaenda kuwa kama Somalia ya Bare.
Kufa kwa kenge mpaka atoke damu kwenye masikio,Ukweli ni huu:
1. Watu vifua vimejaa chuki. Mnadanganywa na wanaotafuta matumbo yao kushiba, lakini wananchi walio wengi by over 99% hawako/hawalidhishwi na yanayoendelea! mnayoyafanya nyinyi watawala.