As long as kwa sasa wako Confortaeble zone.Napenda kuwaasa watawala wetu kuwa, kuanzia sasa waanze kusoma alama za nyakati. Mwaka 2025 tunarajia kufanya uchaguzi Mkuu. Viongozi wetu waongoke, wasirudie tena yaliyopita katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2019, uchaguzi Mkuu 2020 na uchaguzi wa serikali za mitaa 2024.
Kinachoendelea Msumbiji ni watu kufika nukta ya mwisho ya uvumilivu. Hatua hiyo ikifika, huwa hakuna mtu tena anayeogopa risasi, mabomu au silaha nyingine yoyote ile. Wakati huo, kufa au kutokufa huwa vina thamani sawa.
Mwenye masikio na asikie.
HahahaWatanzania wawapi
Kulikuwa na ukaribu na urafiki wa haraka sana kati ya Nyusi na Mama.Frelimo walikuja Tanzania kuwaomba mbinu za ushindi ,Sasa wakachukua mbinu zote Ambazo CCM huwa wanatumia basi uchaguzi ulipofika wakaona watume mbinu za CCM wakasahau msumbiji wanaishi watu wakati Tanzania ni maiti
Msumbiji hakuna kondoo kama TanzaniaFrelimo walikuja Tanzania kuwaomba mbinu za ushindi ,Sasa wakachukua mbinu zote Ambazo CCM huwa wanatumia basi uchaguzi ulipofika wakaona watume mbinu za CCM wakasahau msumbiji wanaishi watu wakati Tanzania ni maiti
Lakini siku Maiti wakifufuka sidhani kama watakubali kurudishwa Makaburini wakati Vigogo wa CCM wanakula Nchi.CCM wakasahau msumbiji wanaishi watu wakati Tanzania ni maiti
Kuna siku itafufuka. Si unajua tena balaa lake kama mtu mliyemzika ukakutana nae mtaani?Frelimo walikuja Tanzania kuwaomba mbinu za ushindi ,Sasa wakachukua mbinu zote Ambazo CCM huwa wanatumia basi uchaguzi ulipofika wakaona watume mbinu za CCM wakasahau msumbiji wanaishi watu wakati Tanzania ni maiti
Na kitawaka tu, we subiri.Bora kiwake
Wale Nchi kwa mara ya mwisho mwisho, maana yajayo yatawatesa. Vinginevyo wakubali matakwa ya raia.Lakini siku Maiti wakifufuka sidhani kama watakubali kurudishwa Makaburini wakati Vigogo wa CCM wanakula Nchi.
Kaka, zama huwa zinabadilika sana. Mara nyingi mambo hayo huja automatically. Mimi nakuambia, siku hiyo ikifika watu hujawa na UJASIRI kwa kiwango ambacho haijapatapo kutokea.Unawazungumzia watanzania hawa hawa au kuna wengine?
Miaka buku ijayo mkuu…may beKaka, zama huwa zinabadilika sana. Mara nyingi mambo hayo huja automatically. Mimi nakuambia, siku hiyo ikifika watu hujawa na UJASIRI kwa kiwango ambacho haijapatapo kutokea.
Saa inakuja, hawa Askari badala ya kutupiga risasi wataungana na sisi.
Huko ni mbali mno. Siku hiyo, CCM hawataamini, Watawala hawataamini na hata Askari wetu hawataamini kinachotokea. Mambo haya huwa yana mwisho wake.Miaka buku ijayo mkuu…may be