Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Muwakilishi pekee kutoka Tanzania mnyama mkali Simba sc kesho majira ya saa nne kamili usiku, atatupa karata yake ya mwisho kwenye kundi lake, ushindi pekee unahitajika ili kuipeleka robo fainali miamba hiyo ya Africa.
Dunia inashauku na hamu kubwa kuona ni nini kitatokea kesho pale mkapa stadium, kulingana na ukubwa wa mechi hii kesho record za watizamaji kwenye television zinakwenda kuvunja.
Ikumbukwe CAF imerihusu mashabiki 35000 tu kwenda uwanjani kesho, hivyo basi idadi kubwa ya watizamaji wengi sana watakuwa majumbani mwao wakiufuatilia mchezo huo kupitia television dunian.
Huu ni wakati wetu watanzani na dunia kiujumla kuiombea Simba SC ushindi wa kishindo hapo kesho, Simba ikishinda Tanzania imeshinda.# NGUVUMOJA.