Watazamaji zaidi ya milioni 600 kuitazama Simba SC kesho

Watazamaji zaidi ya milioni 600 kuitazama Simba SC kesho

Mkiambiwa nyie ni mambumbumbu kama alivyosema Rage mnaona tunawadhalilisha
 
Yaani Dunia imetulia inamwangia kibu, kweli umbumbumbuni Kuna vituko.[emoji1][emoji1]
 
Mkiambiwa nyie ni mambumbumbu kama alivyosema Rage mnaona tunawadhalilisha
1648928678920.png
 
Loading.......
Network error..
Try again Y/N
Yes.....
connected..
Searching all files...
1 second remains
2 files found
%%% file1_bange_za_arusha $
$file 2_njaa kali_$$%
..deleting...
$done

Kwa kifupi mtoa post anasumbuliwa na njaa kali pamoja na matumizi makubwa ya bange
 
Muwakilishi pekee kutoka Tanzania mnyama mkali Simba sc kesho majira ya saa nne kamili usiku, atatupa karata yake ya mwisho kwenye kundi lake, ushindi pekee unahitajika ili kuipeleka robo fainali miamba hiyo ya Africa.

Dunia inashauku na hamu kubwa kuona ni nini kitatokea kesho pale mkapa stadium, kulingana na ukubwa wa mechi hii kesho record za watizamaji kwenye television zinakwenda kuvunja.

Ikumbukwe CAF imerihusu mashabiki 35000 tu kwenda uwanjani kesho, hivyo basi idadi kubwa ya watizamaji wengi sana watakuwa majumbani mwao wakiufuatilia mchezo huo kupitia television dunian.

Huu ni wakati wetu watanzani na dunia kiujumla kuiombea Simba SC ushindi wa kishindo hapo kesho, Simba ikishinda Tanzania imeshinda.# NGUVUMOJA.
Dakika ya 89 Simba 0-Gendermarie 3.
 
Acheni ukolo lini watanzania tukafikia milioni 600
Kwani watakao angalia tu ni watanzania?

Tanzania Tupo zaidi ya Milioni 60

Kenya Milioni 53.7

Uganda Milioni 45

Rwanda Milioni 12.95

Burundi Milioni 11.89

Sudan Milioni 11.9

DRC ni Milioni 90

Mozambique ni Milioni 31.26

Commoro ni Milioni 870,000

Niger kule ni Milioni 24.21

Moroko

Diaspora

Jumlisha na nchi ya Malawi, Zambia ,Zimbabwe, Ghana , Senegal, south Africa ambao watakuwa interested kuifatilia mechi ya simba, ukijumlisha na umaarufu walio nao Simba.

Kumbuka Africa Ina watu bilioni 1.2, tuambie kwa nini unaona ngumu idadi hiyo kufikiwa
 
Hivi ilikuaje mpaka Young Africans sc ikabatizwa na kuwa Yanga? Na kwanini haikusajiliwa tu kama vijana wa Afrika? Tulilazimisha uzungu matokeo yake tukaitwa Yanga... Tubadili jina tuitwe Wananchi.
 
Back
Top Bottom