Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Kufa!Milioni 600 hio kwio😅
Nyako...Kufa!
Mazafanta blalifuuNyako...
Una ujinga aisee, kwamba wanaoitazama Simba ni Watanzania tu? Kwa kweli ni baba yake Haji na JK tu, wengine waliobaki ni vichwa bapaAcheni ukolo lini watanzania tukafikia milioni 600
kama alivyosema Haji Manara, ni baba yake plus JK tuMkiambiwa nyie ni mambumbumbu kama alivyosema Rage mnaona tunawadhalilisha
Usisahau na yule Kocha Luc alishamaliza kuwa mnabweka kama nani vile..?! Ebu Malizia Mwenyewe..!Mkiambiwa nyie ni mambumbumbu kama alivyosema Rage mnaona tunawadhalilisha
Mkiambiwa nyie ni mambumbumbu kama alivyosema Rage mnaona tunawadhalilisha
Dakika ya 89 Simba 0-Gendermarie 3.Muwakilishi pekee kutoka Tanzania mnyama mkali Simba sc kesho majira ya saa nne kamili usiku, atatupa karata yake ya mwisho kwenye kundi lake, ushindi pekee unahitajika ili kuipeleka robo fainali miamba hiyo ya Africa.
Dunia inashauku na hamu kubwa kuona ni nini kitatokea kesho pale mkapa stadium, kulingana na ukubwa wa mechi hii kesho record za watizamaji kwenye television zinakwenda kuvunja.
Ikumbukwe CAF imerihusu mashabiki 35000 tu kwenda uwanjani kesho, hivyo basi idadi kubwa ya watizamaji wengi sana watakuwa majumbani mwao wakiufuatilia mchezo huo kupitia television dunian.
Huu ni wakati wetu watanzani na dunia kiujumla kuiombea Simba SC ushindi wa kishindo hapo kesho, Simba ikishinda Tanzania imeshinda.# NGUVUMOJA.
Kwani watakao angalia tu ni watanzania?Acheni ukolo lini watanzania tukafikia milioni 600
Uwezo wako wa kufikiri hupimwa na kila unachoongea..tafakari kablaAcheni ukolo lini watanzania tukafikia milioni 600
ikawaje sasa 😂Ni aibu sana kufungwa 3 kwa 0 mbele ya hao watu million 600 ambapo pia nadhani umejumuisha miti na majengo.
Hutaki Mkuu?Milioni 600 hio kwio😅