eastmea
Senior Member
- Jul 28, 2018
- 159
- 133
. Jamani hapa ndo alipofikia msanii ney wa mitego yaani nimeingia YouTube nimekutana na show take nikashangaa yaan ni msanii ambaye anajishusha thamani tofauti na ney yule wa Nnakula ujana,Mziki gani
Kwani ney wakipindi kile alitakiwa kwa sasa awe level moja na wasanii kama kingkiba,diamond, harmonize
Hivyo hiyo show inamuonesha akiperfom maeneo local sana kwa level ya ney wa mitego ilifaa aandae show kubwa ambayo itakutanisha mashabiki wengi