Watch "Ney wa mitego aandika historia katika show yake (simiyu)" on YouTube

Watch "Ney wa mitego aandika historia katika show yake (simiyu)" on YouTube

eastmea

Senior Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
159
Reaction score
133
. Jamani hapa ndo alipofikia msanii ney wa mitego yaani nimeingia YouTube nimekutana na show take nikashangaa yaan ni msanii ambaye anajishusha thamani tofauti na ney yule wa Nnakula ujana,Mziki gani
Kwani ney wakipindi kile alitakiwa kwa sasa awe level moja na wasanii kama kingkiba,diamond, harmonize
Hivyo hiyo show inamuonesha akiperfom maeneo local sana kwa level ya ney wa mitego ilifaa aandae show kubwa ambayo itakutanisha mashabiki wengi
 
Kwahyo kiufupi mzee amefulia au sio!??
FB_IMG_15371935935030047.jpeg
 
Hata Neyo wa Miss independent sio huyu aliyeimba na diamond marry you
 
Back
Top Bottom