WATCH: Oil explorations & projects in Tanzania

HIVI kile kiwanda cha TIPER ya pale Kigamboni iliishia wapi? Sijafika eneo hilo muda wa zaidi ya miaka ishirini ila kila ninapoona picha za Dar huwa sioni tena zile ndimi za moto zilizokuwa zinafuka pale TIPER
 
hawa wapinzani bado tu, yahaani hamtaki watu tujipumzisha na kula matunda ya uhuru?
 
According to the Wall Street Journal new oil reserves estimated at 1B Bbl/oil has been discovered by Dominion Tanzania in Tanzania
 
Mafuta yote ni mafuta ya CCM na nyinyi Watanzania MRIE tu. "Waheshimiwa" watapewa mamilion ya shares katika kampuni husika na kuwa mabilionea na nchi kuambulia 3% royalties. Naam Jasusi, hakuna nchi hata moja ya Afrika yenye mafuta mabyo ina rekodi nzuri katika rasilimali hii na ukitilia maanani mikataba ya uchimbaji wa dhahabu ambayo tumeliwa basi hapa pia ni lazima tuliwe kama ambavyo itakavyokuwa kwenye uranium.
 
Libya je..?
 
Libya je..?

Kwani umemsahau dikteta Gadaffi? Wananchi wake wanafaidika vipi na utajiri wao mkubwa wa mafuta? yuko madarakani miaka chungu nzima na kishaanza kumtayarisha mwanae ili amrithi. Kama una data zozote zinazoonyesha Walibya wanafaidika vipi na mafuta yao basi itakuwa vizuri ukiziweka hapa.
 
OOooooppppss here comes trouble!

......kweli aisee........kule delta state Nigeria.......Oil Spill kila pahala..........na hakuna kelele wala nini..........sasa weee subiri..........hii ya kwetu
 
Mafuta yote ni mafuta ya CCM na nyinyi Watanzania MRIE tu. "Waheshimiwa" watapewa mamilion ya shares katika kampuni husika na kuwa mabilionea na nchi kuambulia 3% royalties. Naam Jasusi, hakuna nchi hata moja ya Afrika yenye mafuta mabyo ina rekodi nzuri katika rasilimali hii na ukitilia maanani mikataba ya uchimbaji wa dhahabu ambayo tumeliwa basi hapa pia ni lazima tuliwe kama ambavyo itakavyokuwa kwenye uranium.

Sina ninachokijua kuhusu uranium, ni update basi
 
Back
Top Bottom