Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 866
Kazi ipo!tutafika hivyo hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Damn right here comes trouble. Look at Nigeria, look at Angola and look at the kind of leadership we have.OOooooppppss here comes trouble!
Naam Jasusi, hakuna nchi hata moja ya Afrika yenye mafuta mabyo ina rekodi nzuri katika rasilimali hii COLOR]
Mafuta yote ni mafuta ya CCM na nyinyi Watanzania MRIE tu. "Waheshimiwa" watapewa mamilion ya shares katika kampuni husika na kuwa mabilionea na nchi kuambulia 3% royalties. Naam Jasusi, hakuna nchi hata moja ya Afrika yenye mafuta mabyo ina rekodi nzuri katika rasilimali hii na ukitilia maanani mikataba ya uchimbaji wa dhahabu ambayo tumeliwa basi hapa pia ni lazima tuliwe kama ambavyo itakavyokuwa kwenye uranium.
OOooooppppss here comes trouble!
Libya je..?
OOooooppppss here comes trouble!
Temea mate chini..nyakati kama hizi huwa natamani sana Kagame angekuwa rais wa tz....
Kang said:Hiyo Block 7 ndo iko Zenj?