Watch Out; Tigo Pesa, M-Pesa ni Janga Kuu, wengi Wameumia!!

Watch Out; Tigo Pesa, M-Pesa ni Janga Kuu, wengi Wameumia!!

ni wizi huo upo.ila kwenye kucancel transaction inabidi wenye mtandao husika wawasiliane na wakala husika kuhakiki vinginevyo ni hatari sana
 
ni wizi huo upo.ila kwenye kucancel transaction inabidi wenye mtandao husika wawasiliane na wakala husika kuhakiki vinginevyo ni hatari sana

Katika hili ningeshauri makampuni ya simu badala ya kumrudishia hiyo hela mtumaji, basi mtumaji aseme hiyo vela ilikua inaenda wapi ili wao makampuni ndio watume,
Tena wakisharidhika kua namba iliyokwenda mwanzo na inayotaka kwenda angalau zinataka kufanana!!!
 
Nijuavyo mimi walio kwenye vibanda hawana taarifa za kupiga/kupigiwa za mteja. Taarifa hizo zinapatikana customer care centres tu.
 
Jamani naomba mnijuze ni tatizo nililolipata mwenyewe au kuna wengine wanaexperience hii kitu, nina wiki sasa sijui hata niende wapi, nmenunua Luku kwa M-Pesa sijaipata na customer care ya Vodacom hawapatikani.
 
mimi walinila hela eti jumapili hatufanyii kazi.nikawaambia hela vp wakasema jtatu wanatuma.hawakutuma nikawapigia wakawa wanazingua.nenda shop nunuz kuliko huu uhuni
 
hawa voda na mmpesa yao ni wababaishaji,nimenunua luku mchana hakuna jibu,afu pesa wamekata hapa nilipo nipo kwenye giza....
 
hawa voda na mmpesa yao ni wababaishaji,nimenunua luku mchana hakuna jibu,afu pesa wamekata hapa nilipo nipo kwenye giza....

Kiongozi M-pesa iko bomba kinoma tatizo ni Tanesco. M-pesa ni link tu ya kupitia, tatizo loote lipo Tanesco huko. System zao za kizamani mnoo
 
Kwa Taarifa yenu unaponunua LUKU Via M-pesa ile transaction inapitia Servers karibu tatu. Paynet Kenya, Selcom Tanzania na hatimaye ina hit platform ya Tanesco ndo LUKU Token inakuwa generated. SASA hawa Tanesco ndo problem yoote ipo huku, QUEUE ya Transactions za toka saa nne asubuhi ndo zinaingia taratibu kwenye platform ya Tanesco na kuchukua hiyo TOKEN yako halafu ndo ije kwako kwenye simu. Pigeni kelele SYSTEM za Shirika lenu la Ugavi wa Umeme wanunue mitambo mipya wadau!
 
Asante kwa ushauri bila umakini tutalizwa sana!
 
Habari Wana JF ?? Nina swali moja, Eti hii biashara ya Mpesa na hizi nyinginezo kama Tigo Pesa zinalipa kweli ukiwa na mtaji ambao unaotakiwa ?
 
Jamani naomba mnijuze ni tatizo nililolipata mwenyewe au kuna wengine wanaexperience hii kitu, nina wiki sasa sijui hata niende wapi, nmenunua Luku kwa M-Pesa sijaipata na customer care ya Vodacom hawapatikani.

Ilishawahi nitokea,nimenunua umeme kwa m-psa nimekaa kwa saa 6 sioni kitu,nikawza labda niishtue tena nikanunua ya buku cha kushangaz ya buku ilifika ila buk 15 haikufika nikawasiliana na voda kesho yake,wakanitumia token yao hiyo ambayo nayo ilikuwa ya kichina haswa mana haikukubali.....Mambo ya serikalini bwana unafikiri wote wanaoongoza ni walevi....ukiuliza bei ya hiyo server na software utaachama mdomo wazi.
 
Kuna nyingine hii...mdada mmoja alikuwa anatuma hela...katika maongezi na wakala akasema natuma elfu hamsini tu,hiyo nyingine inabaki humo....kulikuwa na mkaka alikuwa jirani...baada ya binti kuanza kuondoka nae akamfuata kama kumtongoza vile (kumbuka pale kwa wakala aliulizwa kama anaikumbuka password kwani mwanzo alikosea akajibu ni mwaka wangu wa kuzaliwa)....kule njiani yule jamaa kumbe alimuomba namba yule dada ili wazidi kuwasiliana...akamtrace na umri wake na jina lake akasevu kwenye simu....the next day akamtumia dada mwingine ku-freeze ile namba na then aka-swarp sehemu ingine...kisha akamtumia kuchukua hela za yule binti (wakati jina si lake)..mawakala hawana shida na ID......japo huyu kijana alijulikana mchezo wake huo but tuwe makini!
KISA KINGINE NI HII YA SIM BANKING!
Be careful ni simu zenu hasa mnaosave details zenu kwenye simu...kuna mtu ameshasaga meno huku mtaani aka kulia vibaya.
 
zinalipa kaka, ukifanya kwa malengo na ukiwa na mtaji mzuri
 
Back
Top Bottom