Pascal Mayalla Platinum Member Joined Sep 22, 2008 Posts 53,857 Reaction score 121,995 Sep 5, 2024 #1 Wanabodi Watch TBC Jambo Live: Meneja wa Elimu kwa Walipa Kodi wa TRA CPA Paul John Walalaze Yuko Live on TBC Akihimiza Watu Wote Tulipe Kodi. Watch View: https://www.youtube.com/live/BwSqvxL7YVw?si=q1MXVglKZ3cZTPdF Walalaze amekumbusha mwezi September ni mwezi wa kulipa awamu ya tatu ya kodi, wote tulipe kodi. Paskali
Wanabodi Watch TBC Jambo Live: Meneja wa Elimu kwa Walipa Kodi wa TRA CPA Paul John Walalaze Yuko Live on TBC Akihimiza Watu Wote Tulipe Kodi. Watch View: https://www.youtube.com/live/BwSqvxL7YVw?si=q1MXVglKZ3cZTPdF Walalaze amekumbusha mwezi September ni mwezi wa kulipa awamu ya tatu ya kodi, wote tulipe kodi. Paskali
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 41,878 Reaction score 81,593 Sep 5, 2024 #2 Tagizo sio kulipa kodi tatizo hatuna kazi
Chillah JF-Expert Member Joined Oct 12, 2016 Posts 8,870 Reaction score 10,066 Sep 5, 2024 #3 Kodi ionekane inapoenda... kulipa sio shida! Shida tuna nufaikaje na kulipa kodi? Sisi watu zaidi ya 60m?
Kodi ionekane inapoenda... kulipa sio shida! Shida tuna nufaikaje na kulipa kodi? Sisi watu zaidi ya 60m?
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Sep 5, 2024 #4 Hivi ukiwa rais wa jamhuri hii unalipa kodi! Ova
evangelical JF-Expert Member Joined Nov 21, 2011 Posts 5,035 Reaction score 8,218 Sep 5, 2024 #5 mzabzab said: Tagizo sio kulipa kodi tatizo hatuna kazi Click to expand... Tatizo ni hizo kodi zinatumika vibaya kuna kodi nalipa hapa ningekuwa na uwezo ningeisitisha
mzabzab said: Tagizo sio kulipa kodi tatizo hatuna kazi Click to expand... Tatizo ni hizo kodi zinatumika vibaya kuna kodi nalipa hapa ningekuwa na uwezo ningeisitisha
Webabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2010 Posts 8,870 Reaction score 14,258 Sep 5, 2024 #6 Pascal Mayalla said: Wanabodi Watch TBC Jambo Live: Meneja wa Elimu kwa Walipa Kodi wa TRA CPA Paul John Walalaze Yuko Live on TBC Akihimiza Watu Wote Tulipe Kodi. Watch View: https://www.youtube.com/live/BwSqvxL7YVw?si=q1MXVglKZ3cZTPdF Walalaze amekumbusha mwezi September ni mwezi wa kulipa awamu ya tatu ya kodi, wote tulipe kodi. Paskali Click to expand... Umuhimu wa kulipa kodi bila yeye kusema tunaujua.Tatizo kodi ni kubwa na za kibabe hazilipiki.
Pascal Mayalla said: Wanabodi Watch TBC Jambo Live: Meneja wa Elimu kwa Walipa Kodi wa TRA CPA Paul John Walalaze Yuko Live on TBC Akihimiza Watu Wote Tulipe Kodi. Watch View: https://www.youtube.com/live/BwSqvxL7YVw?si=q1MXVglKZ3cZTPdF Walalaze amekumbusha mwezi September ni mwezi wa kulipa awamu ya tatu ya kodi, wote tulipe kodi. Paskali Click to expand... Umuhimu wa kulipa kodi bila yeye kusema tunaujua.Tatizo kodi ni kubwa na za kibabe hazilipiki.
evangelical JF-Expert Member Joined Nov 21, 2011 Posts 5,035 Reaction score 8,218 Sep 5, 2024 #7 mrangi said: Hivi ukiwa rais wa jamhuri hii unalipa kodi! Ova Click to expand... Analipa indirect ujue unaponunua kitu unalipa kodi
mrangi said: Hivi ukiwa rais wa jamhuri hii unalipa kodi! Ova Click to expand... Analipa indirect ujue unaponunua kitu unalipa kodi