Kigongoi kwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2018
- 571
- 676
Sio kumjua tu, kanisani na msikitini wanaenda na wanakaa viti vya mbele kabisaNajiuliza mara nyingi kundi la hawa watu! Hivi ni kweli mmeamua kutumiwa kuteka kupoteza pumzi za wanadamu wenzao?
Kwenye mazingira hayo wewe upon kundi la Mungu au la shetani?
Unajisikiaje wazazi;watoto,mke/mume Wana haha kumtafuta ndugu Yao ambaye ww umemteka na kumficha?
Trust me or not hiyo kazi wengi vifo vyao vimekuwa hivyo wapo wengi waliouwa nao wakauliwa hivyo hivyo since hawajulikani ila wanatakiwa wajue ukiuwa kwa upanga utakufa kwa upanga.Najiuliza mara nyingi kundi la hawa watu! Hivi ni kweli mmeamua kutumiwa kuteka kupoteza pumzi za wanadamu wenzao?
Kwenye mazingira hayo wewe upon kundi la Mungu au la shetani?
Unajisikiaje wazazi;watoto,mke/mume Wana haha kumtafuta ndugu Yao ambaye ww umemteka na kumficha?
Roho za ajabu sana hizi,hata kama wamekula kiapo Cha kufanya kazi za namna hii,hapana,hii sio sawaJioni akirudi anakula ugali,pilau aiseee