Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaa Jela inawahusu wajinga hao
Halafu hapo unakuta ametuna kwenye ki IST ambacho amenunuliwa na mange kwa ajili ya kusaka habari za umbea 🤣Imagine mwanaume mzima unajitambulisha kwa watu eti wewe ni mfanyakazi wa Mange kimambi😃 hii haina tofauti na jamaa mmoja pale Buguruni ana bonge la mwili,bonge la baunsa halafu eti anauza sambusa tena za viazi