E espy JF-Expert Member Joined Oct 26, 2021 Posts 363 Reaction score 706 Apr 5, 2022 #21 Sisi ndio tunalipa bill ya matibabu ya Prof Jay Tuna haki ya kujua hali yake inaendeleaje in detail.
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Apr 5, 2022 #22 Watolewe mfano iwe fundisho kwa wengine Sent using Jamii Forums mobile app
JanguKamaJangu JF-Expert Member Joined Feb 7, 2022 Posts 2,780 Reaction score 6,607 Apr 5, 2022 Thread starter #23 Numbisa said: Daaa Jela inawahusu wajinga hao Click to expand...
N Nyumisi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2010 Posts 13,499 Reaction score 19,292 Apr 5, 2022 #24 TADPOLE said: Imagine mwanaume mzima unajitambulisha kwa watu eti wewe ni mfanyakazi wa Mange kimambi😃 hii haina tofauti na jamaa mmoja pale Buguruni ana bonge la mwili,bonge la baunsa halafu eti anauza sambusa tena za viazi Click to expand... Halafu hapo unakuta ametuna kwenye ki IST ambacho amenunuliwa na mange kwa ajili ya kusaka habari za umbea 🤣
TADPOLE said: Imagine mwanaume mzima unajitambulisha kwa watu eti wewe ni mfanyakazi wa Mange kimambi😃 hii haina tofauti na jamaa mmoja pale Buguruni ana bonge la mwili,bonge la baunsa halafu eti anauza sambusa tena za viazi Click to expand... Halafu hapo unakuta ametuna kwenye ki IST ambacho amenunuliwa na mange kwa ajili ya kusaka habari za umbea 🤣
K KaziIendelee JF-Expert Member Joined Oct 30, 2013 Posts 327 Reaction score 229 Aug 10, 2022 #25 Nipeni kazi mtamsikia tena.