KERO Watendaji wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) – Arusha wanafanya kazi kimazoea, wanasababisha mafuta yasipatikane

KERO Watendaji wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) – Arusha wanafanya kazi kimazoea, wanasababisha mafuta yasipatikane

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kuna uzembe wa kukithiri katika utendaji wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (Government Procurement Services Agency - GPSA) Mkoa wa Arusha kipindi hiki kigumu, unaletaje gari moja ya mafuta inahudumia Kanda nzima ya Kaskazini.

unnamed.png

​
Tuliomba wafanye shortlist ya baadhi ya vituo vya mafuta hapa Arusha wanagoma sahizi gari zote tumepaki hakuna mafuta watu hawafanyi kazi, hali ni mbaya na watumishi wao wanafanyia kazi kwa mazoea kauli chafu.

Lugha chafu na ujeuri ni kimekithiri ila issue ya mafuta na muda huu wa changamoto unaenda na token ya Lita 1,000 wanakataa wanakupa mia tatu lakini mafuta yapo wanasubiri yapande bei ndiyo wauze.
 
Back
Top Bottom