Watendaji wapigaji na wezi wa Mali za Umma ni kioo cha aliyewateua

Watendaji wapigaji na wezi wa Mali za Umma ni kioo cha aliyewateua

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
4,548
Reaction score
11,901
Duniani kokote kule haijawahi tokea kiongozi wa nchi awe msafi kama Pamba then akubali kufanya kazi na Panya. Hiawezekani kamwe.

Watendaji wapigaji wanawakilisha kisawasawa tabia ya alie wateua.

Historia ya Raisi San Abach inaonyesha kwamba hata watendaji wake walikuwa ni wapigaji vibaya mno na kilicho kuwa kinawapa nguvu za Kuibia Nigeria ni tabia za alie wateua.

Kote kule hata Zaire chini ya Mobutu, Watendaji walichota Mali za Congo kwa kufuatiza Bosi wao.

Kule Kenya nako wale wapigaji sio wajinga,wanafuatiza matenda ya Bosi wao.

Tanzania some time tunapiga kelele sana za wizi mara,Ufisadi na kadhalika lakini tunashindwa kutambua kwamba hawa watendaji sio wajinga kiwango hicho. Watendaji wanapiga wakiwa wanajua fika kabisa juu ya bosi wao.

Hawa ndio maana unasikia kuba kamati za kuwaombe msamaha na kadhalika.

Tusiwalaumu sana watendaji,wao sio wenda wazimu wana fuatiliza.
 
Back
Top Bottom