Watanzania bwana!! Yaani na wewe una amini habari hizi za kuchonga kutoka BBC - hujui lengo lao ni nini hasa kuhusu Uchina - hivi inaingia akilini kwa Taifa lolote Duniani linaweza kutumia chanjo fake bila ya kuziagizia kutoka kwenye source zinazo tambulika kimataifa, zikachunguzwa kwa umakini zinatoka viwanda gani vinavyo tambulika na kuwasiliana nao moja kwa moja?View attachment 1717151
Polisi nchini China na Afrika Kusini wamekamata maelfu ya dozi bandia za chanjo ya Covid-19 na kuwakamata wahusika, Polisi wa kimataifa, Interpol wameeleza.
Polisi wamewakamata watu 80 kwenye kiwanda nchini China kwa madai ya kutengeneza chanjo bandia , ambapo dozi 3,000 zilibainika tayari zikiwa zimetengenezwa katika kiwanda hicho.
Raia watatu wa China na mmoja wa Zambia walikamatwa katika ghala huko Gauteng, Afrika Kusini, ambapo chupa zilizokuwa na dozi 2,400 ziligundulika. BBC
Nadhani tusikimbilie kuchanjwa, wacha tuone kwanza sinema itavyokuwa
Kwani serikali hununua wapi bidhaa zake? Je Ni kwenye black markets?View attachment 1717151
Polisi nchini China na Afrika Kusini wamekamata maelfu ya dozi bandia za chanjo ya Covid-19 na kuwakamata wahusika, Polisi wa kimataifa, Interpol wameeleza.
Polisi wamewakamata watu 80 kwenye kiwanda nchini China kwa madai ya kutengeneza chanjo bandia , ambapo dozi 3,000 zilibainika tayari zikiwa zimetengenezwa katika kiwanda hicho.
Raia watatu wa China na mmoja wa Zambia walikamatwa katika ghala huko Gauteng, Afrika Kusini, ambapo chupa zilizokuwa na dozi 2,400 ziligundulika. BBC
Nadhani tusikimbilie kuchanjwa, wacha tuone kwanza sinema itavyokuwa
Wazee wa kukariri!! Ile operation "Nyumba ni choo" ilileta matokeo chanya huko kwenu?Kweli vita vya kiuchumi ni vita hatari sana