#COVID19 Watengeneza chanjo ya Covid-19 aina ya Pfizer na Moderna wapandisha bei ya chanjo

Pfizer itaanza kutengenezwa South Africa nadhani itasaidia kufikia soko la Africa kwa ukaribu zaidi na labda bei kupungua...
Duh! Yani mpaka 2022 nakuendelea bado hili donda ndugu litakuepo.

Wameona ukimwi hautoshi wakaongeza gonjwa lingine. Binadamu wabaya sana zaidi ya wanyama.

Huu ugonjwa China na marekani ndo wanahusika.
 
Ni kweli hukuna haja ya kununua kitu usichohitaji.
Sio kutohitaji tu,it is a poison:it contains Graphene Oxide,which is very toxic,and will be misused in a variety of ways against humanity,it is a microsoft Windows 666 mRNA OS which will modify our DNA and therefore Genome,plus many other toxic ingredients.Why humanity has become so blind to accept something that will wipe out it's very existence is difficult to tell.
 
Fikra za kipumbavu hizi
 
Duh! Yani mpaka 2022 nakuendelea bado hili donda ndugu litakuepo.

Wameona ukimwi hautoshi wakaongeza gonjwa lingine. Binadamu wabaya sana zaidi ya wanyama.

Huu ugonjwa China na marekani ndo wanahusika.
Asante, mie kilio changu kipo kwa alieleta hili gonjwa. Watatumaliza sana.

Chanjo ni chaguo la mtu. Kama unaona nafasi ya kupata Covid 19 ni ndogo huna haja ya kuchanja. Kama unajiona nafasi ya kupata COVID-19 kubwa basi chanja upate kinga .
 
Sio kutohitaji tu,it is a poison:it contains Graphene Oxide,which is very toxic,and will be misused in a variety of ways against humanity,it is a microsoft Windows 666 mRNA OS which will modify our DNA and therefore Genome,plus many other toxic ingredients.Why humanity has become so blind to accept something that will wipe out it's very existence is difficult to tell.
Which vaccine contains Graphene Oxide?

Which vaccine contains Graphene Oxide?

Usiniletee links ambazo ni compromized,nataka links ambazo ni independent na have nothing to gain from the vaccine business or uncompromized independent scientists,sio vi-dumper vinavyopokea posho kutoka kwa akina Bill Gates.
 
Asante, mie kilio changu kipo kwa alieleta hili gonjwa. Watatumaliza sana.

Chanjo ni chaguo la mtu. Kama unaona nafasi ya kupata Covid 19 ni ndogo huna haja ya kuchanja. Kama unajiona nafasi ya kupata COVID-19 kubwa basi chanja upate kinga .
Ungejua C-19 is a hoax!Ni pure utapeli mkuu ambao nia yake ni kuleta hiki kinachoitwa chanjo,ambayo kiukweli sio chanjo,lakini nia yake mahsusi ni kuua watu kwa wingi.
 
Watengeneza chanjo ya Covid 19 aina ya Pfizer na Moderna wamepandisha bei ya Chanjo.

Taarifa iliyotolewa leo na jarida ya Financial Times limesema Moderna na Pfizer wameingia mkataba mpya wa bei mpya ya chanjo zao kwa Umoja wa Ulaya.

Pfizer sasa itauzwa Dollar 23.15 (TZS 54,147) ama Euros 19 kutoka Euros 15 ama Dollar 17.8. Moderna sasa itauzwa Euro 21 ama Dollar 25.5. Hii Moderna imepungua bei kutoka $28.5 ya bei ya awali kutokana na kuongezeka kwa mahitaji(volume).

Kuna baadhi ya watu hatuna kazi nazo
 
Usiniletee links ambazo ni compromized,nataka links ambazo ni independent na have nothing to gain from the vaccine business or uncompromized independent scientists,sio vi-dumper vinavyopokea posho kutoka kwa akina Bill Gates.
CDC is reliable to me, nipe link yako.
Hatubishani tunaelimishana.
 
Ungejua C-19 is a hoax!Ni pure utapeli mkuu ambao nia yake ni kuleta hiki kinachoitwa chanjo,ambayo kiukweli sio chanjo,lakini nia yake mahsusi ni kuua watu kwa wingi.
COVID-19 is real and killing people. Is it man made? I believe so.

Covid-19 nia yake ndio kuua watu na imeua wengi.
 
Wasenge hawa,nimeona Ujerumani eti watachomwa tena chanjo ya tatu ya Pfizer. Hawa big Pharma wasituletee za kuleta.
 
Covid sio real beorher,real science says no to Covid.Hawa washenzi wame-create conditions za watu kufa ovyo,wakatengeneza kipimo fake,the RT-PCR test kit kinachopima 99% false positives,waka pollute the enviroment,halafu wanadanganya watu eti kuna Covid,it's pure nonsense.

Imagine Tanzania tunge lable vifo vyote ni Covid plus the false PCR tests,si ingekuwa kazi.Ni rahisi sana ku-fake a C-19 scenario aisee,people must wake up.
 
Watu wameeka mpunga mrefu hapo wanasubiria kula gawio
 
Covid sio real beorher,real science says no to Covid.Hawa washenzi wame-create conditions za watu kufa ovyo,wakatengeneza kipimo fake,the RT-PCR test kit kinachopima 99% false positives,waka pollute the enviroment,halafu wanadanganya watu eti kuna Covid,it's pure nonsense.

Imagine Tanzania tunge lable vifo vyote ni Covid plus the false PCR tests,si ingekuwa kazi.Ni rahisi sana ku-fake a C-19 scenario aisee,people must wake up.
Najua na nimekuelewa lakini nia ya COVID-19 kuua watu imefanikiwa whether it’s real or not.
 
Wasenge hawa,nimeona Ujerumani eti watachomwa tena chanjo ya tatu ya Pfizer. Hawa big Pharma wasituletee za kuleta.
That’s the deal.

Nitafanya antibody titer test kabla ya kupewa dose ya tatu kama watasema tunaitaji. Na hata kama wakisema sina antibodies sita choma booster shot.

Nitaleta majibu ya titers hapa mda huo ukifika. Mpaka sasa bado jibu kamili kuhusu mda gani mwili wako unakua na kinga baada ya kuchoma chanjo hawajasema. Wanafikiri ni miezi 6 mpaka 9.
 
itakua poa sana mkuu.
 
Back
Top Bottom