BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Mimi nawalaumu sana Wachina. Hawa Wachina walihofia kuipoteza Hong Kong kutokana na protesters zaidi ya milioni kila siku kupinga ugaidi, dhuluma na udhalimu wa Serikali ya China. Protesters walikuwa na mafanikio makubwa sana pamoja na kuwa wengi walipigwa sana na kukamatwa na jeshi na polisi. Dhana yangu ni kwamba Serikali ya China walipoona kwamba hawana mafanikio ndiyo wakaamua kutumia hicho kirusi cha COVID-19 lakini bahati mbaya ikatokea ajali pale lab na hawakujua negative impact yake kwa dunia nzima. Kama isingetokea ajali pale lab kirusi ilikuwa kipelekwe Hong Kong.
Kwanini Serikali ya China ilikataa wataalamu toka WHO kuwa na access ná hiyo Wuhan lab January 2020? January 2021 wataalamu toka CDC walikataliwa kuingia na wiki chache zilizopita wataalamu toka WHO kuingia China. Serikali ya China inaficha nini!?

Asante, mie kilio changu kipo kwa alieleta hili gonjwa. Watatumaliza sana.
Chanjo ni chaguo la mtu. Kama unaona nafasi ya kupata Covid 19 ni ndogo huna haja ya kuchanja. Kama unajiona nafasi ya kupata COVID-19 kubwa basi chanja upate kinga .