Water Pump nzuri

Gagurito

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Posts
5,600
Reaction score
806
Nishaurini juu ya water pump nzuri, kubwa, yakisasa, imara, fuel economical etc kwa ajiri ya kilimo cha umwagiliaji wa shamba lenye ekari 8.
 
MKUU tafuta Robbin 3'' inatumia petrol hii machine kaka utakuja kuniambia inapiga mzigo sana na ndiyo maana bei yake iko juu kidogo.
 
MKUU tafuta Robbin 3'' inatumia petrol hii machine kaka utakuja kuniambia inapiga mzigo sana na ndiyo maana bei yake iko juu kidogo.

Bei yake ikoje mkuu? Na matumizi yake ya mafuta ni vipi?
 
Kwa shamba lako utatumia kama litre 20 bei inanzia laki saba lkin huwa inashuka pia kuna water pump kubwa ila kwa kuanza anza na hiyo ila kama una hela kama mil 3 na nusu nikuelekeze ununue pump na sprinkle malanyingi pump sio tatizo ila jinsi ya kumwagiria maana mimi ina stage za ukuaji na kila stage ina itaji ainatofauti ya umwagiriaji ili kutoua mimea.
 

Mkuu hiyo lita 20 ni daily? Nielekeze zaidi mkuu, mashine za huku ni zile zakufungwa moja kwa moja shamba mkuu.
 
Zinakufaa
 

Attachments

  • 1410720850608.jpg
    46.7 KB · Views: 387
  • 1410720885519.jpg
    20.4 KB · Views: 410
😀👍sema
 

Attachments

  • 1410720948216.jpg
    37.4 KB · Views: 389
Kwani upo wapi? itakuwa rahisi kukufahamisha lakini nina mfano wa pump moja heb iangalie
 
Pump hii ni nzuri sana maana huweza kumwagilia eneo kubwa kwa wakati mdogo na bila kuuwa mazao yako mim nimekuwa nikitumia sana bila matatito yoyote.
 
Pump hii ni nzuri sana maana huweza kumwagilia eneo kubwa kwa wakati mdogo na bila kuuwa mazao yako mim nimekuwa nikitumia sana bila matatito yoyote.

Asante sana mkuu. Nitakucheck
 

Weka mawasiliano yako...wewe unauza hizi pump?bei zake?za nchi gani?zinafaa kwa kisima?
 

Hiyo wolf ni kutoka Uk nimejaribu kukuandalizia, hata ikifika tz ni m1. New
 
Huu uzi utanisaidia na mimi pia. Thanks Gagurito
 
Last edited by a moderator:
Wasiliana na hawa pia wanauza sijui bei zao.
 

Attachments

  • 1410810808719.jpg
    46.2 KB · Views: 305
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…