Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa shamba lako utatumia kama litre 20 bei inanzia laki saba lkin huwa inashuka pia kuna water pump kubwa ila kwa kuanza anza na hiyo ila kama una hela kama mil 3 na nusu nikuelekeze ununue pump na sprinkle malanyingi pump sio tatizo ila jinsi ya kumwagiria maana mimi ina stage za ukuaji na kila stage ina itaji ainatofauti ya umwagiriaji ili kutoua mimea.
Kwani upo wapi? itakuwa rahisi kukufahamisha lakini nina mfano wa pump moja heb iangalieView attachment 185243View attachment 185242
Kwa shamba lako utatumia kama litre 20 bei inanzia laki saba lkin huwa inashuka pia kuna water pump kubwa ila kwa kuanza anza na hiyo ila kama una hela kama mil 3 na nusu nikuelekeze ununue pump na sprinkle malanyingi pump sio tatizo ila jinsi ya kumwagiria maana mimi ina stage za ukuaji na kila stage ina itaji ainatofauti ya umwagiriaji ili kutoua mimea.
Asante sana mkuu. Nitakucheck
Mkuu ES
Mimi nasema ardhi kuchukuliwa ama kugawanywa was the right decision ila njia zilizo tumika ndiyo mbaya.Mimi nasema Mzungu hawezi kumuona mweusi anahamia na kuwa own mali nyingi wachilia mbali ardhi.Nimekaa sana hapa Uingereza nimeona mifano micvhache ikiwemo wa kusumbuliwa Al Fayeed Baba yake Dodi kila mapesa yake.Mimi nalalamika ukatili wa Mugabe kwa watu wake na kutumia mabavu kuiba kura na kuwanyima haki Wazimbabwe na kuwatesa kama hali ilivyo sasa .Ardhi ni sahihi kuwa mkononi mwa Wazimba lakini je wangapa wameipata ? Waliyo pata ni wale walo mzunguka Mugabe na koo zao Zimbabwe na Wazimbabwe wana hali ngumu .Mim na ma Western hakuna ninacho kubaliana nao ni wabaya sana when it comes to we blacks interests amd rights
Hiyo Wolf pump nimeipenda, bei gani?