Water tanks na kutengeneza kisima

Water tanks na kutengeneza kisima

hii bei ya mwaka gani jamani.

2007, RC rig ilikuwa inachimba mita 1 kwa USD40, au hawa wanatumia nini kuchimba?

Dada Kongosho, hii bei ni ya mwezi Disemba 2011 na wanatumia yale magari yenye mtambo wa kuchima hadi mita 80 kwenda chini.
 
mwenye bei ya uhakika ya kuchimba mita 1 tafadhali anipatie contacts,
nataka kuchimba mita 80(mpaka 70) ,pia sifahamu wachimbaji wa ukweli..Kimsingi nataka nitoe pesa ikabidhiwe kisima kilicho tayari me nanunua tanki tu na pump maji,mwenye details anaweza ni PM ama aweke pia kwa faida ya wengine.
 
Back
Top Bottom