mwenye bei ya uhakika ya kuchimba mita 1 tafadhali anipatie contacts,
nataka kuchimba mita 80(mpaka 70) ,pia sifahamu wachimbaji wa ukweli..Kimsingi nataka nitoe pesa ikabidhiwe kisima kilicho tayari me nanunua tanki tu na pump maji,mwenye details anaweza ni PM ama aweke pia kwa faida ya wengine.