Watesi wa Chongolo wameshinda: Mengi yaja

Mkekaribisha Nyoka chumbani Sasa mnahaha kutafuta mchawi? Mkija kujua chanzo atakuwa keshakula mayai na kamng'ata mama Kuku.
 
Unaweza ukawa na ushahidi wowote katika haya? Hivi kwa unri kama wake amebakiza nini hadi atumie mwanamke picha ya Boro? Acha hizo we February Makamba.
Umri siyo kigezo.
Nimeshuhudia mzee sana kuliko Chongolo anatongoza mke wa mpangaji mwenza wa mwanawe ambapo mzee alienda kutunzwa na mwanawe.
Alikuwa anatoa 'liboro fc' anamuonesha mke wa jamaa amuonee huruma.

Usiweke hisia kwenye Mambo haya utapotea.
 
Sukuma Gang watakuja kushindwa mwishoni!
Mungu hawezi wacha Tanganyika iharibiwe na maharamia wachache walioibuka 2015, atatunusuru.


Bado nauliza swali, who resigned? Mungu anaingiaje kwenye huu upumbavu na ujinga wa ccm? Kwa nini usiseme Mungu ataingilia kati ubadhirifu na wizi wa ccm+

Agenda yenu ipo kwenye vyeo na sio wizi wa ccm, umewahi leta agenda ya ubadhirifu wa hela za uma na watu kutochukuliwa hatua kwa uchungu wa kiwango hiki?

WE CHONGOLO, Kaa kwa kutulia, lile eneo lako jirani na kwangu pale Mbweni alijatosha tu?

Eneo la mamilioni ya fedha????? Sijui hata nikipima na kwangu nashindwa kupata thamani halisi, ni mamilioni, umepata kwa mapato halali?
 
Mkuu usimshangae mwandishi. Ni Balile aliyemchafua sana Magufuli akiwa madarakani. Leo anashangaa "rafiki" yake kuchafuliwa.
 
Acha uchunguzi ufanyike wewe CHAWA. Ulipoamua kumchafua Jpm bila kufanya uchunguzi ulitumwa? K2 taarifa yako huyo mwanamke unayesema humjui, unamjua na ni mkeo
 
Acha uchunguzi ufanyike wewe CHAWA. Ulipoamua kumchafua Jpm bila kufanya uchunguzi ulitumwa? K2 taarifa yako huyo mwanamke unayesema humjui, unamjua na ni mkeo
Kondoo ya sadaka lakini mwish watanzania wataamua la sivyo kura za hasira zitapigwa na wakurugenzi hawatopata nguvu ya kubadili matokeo.
 
Mleta mada ni mpumbavu kama wapumbavu wengine. Mkewe alizawadiwa Ukurugenzi, atuliwe atafunwe vizuri
 
Wewe acha Wakati uamue. Umesema uchunguzi unafanyika,wakati huohuo unalaumu kwa uhakika amechafuliwa! Basi kamwambie aliyeitisha uchunguzi wewe umeshajua ,hizo pesa ziende kwenye maafa.manyara.
 
Wachawi watakula nyama zao wenyewe mwaka huu kupita maelezo. Vita ni kubwa ndani kuliko nje.
Watauana sanaaa, ngoja tusubiri.
 
Wewe ccm imeonyesha uwezo wake ndio huo!!!


Dola ilipaswa kusimamia yote hayo na kuhakikisha haki inatendeka ndani ya chama na serikali!!

Wao wakawaacha chama kifanye kinavyotaka Hilo ninkosa kubwa!!

Mambo yatabadilika huko mbeleni!!
 

Wewe Ni mpuuzi kiwango cha SGR, Mimi sio CCM lakini tunaomjua Chongolo kama Chongolo yote yaliyotajwa Ni uongo 💯 % wenye kusudi Baya wakilenga ukatibu mkuu wake kikubwa tushukuru wamemwachia uhai wake bila kusahau kuna wakati Mstaafu JMK alisema ndani ya CCM watu hawaaminiani na kweli hiyo ndio mwendelezo huu tunaoona sasa hivi

TATIZO NI KUNDI LA VIONGOZI WACHAFU NDANI YA CHAMA CHENU NA SERIKALI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…