johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hukuwa unalijua hilo?kumbe Kitila naye alikuwa Chadema?
OK...
Hujawahi kusoma somo la Historia ukiwa shule ya msingi bwashee?kumbe Kitila naye alikuwa Chadema?
OK...
najua katokea ACT kama founder wa chama kabla ya kujiunga CCM but inawezekana kumbukumbu zangu zimeingia kutu labda!Hukuwa unalijua hilo?
inawezekana nilikuwa kilaza kwenye historiaHujawahi kusoma somo la Historia ukiwa shule ya msingi bwashee?
Waitara anaenguliwa mapemaaaa na kamati kuu maana aligawa sana rushwa. Yani huyu akiachwa basi nitaamini kuwa kuna uchawi wa kuloga hata nchiHujawahi kusoma somo la Historia ukiwa shule ya msingi bwashee?
Haya......msalimie Halima!inawezekana nilikuwa kilaza kwenye historia
Umemsahau kafurila a.k.a Tumbiri??Bado natafakari tetemeko la ardhi lililotokea jana katika eneo kubwa la nchi yetu huku nikisubiri orodha ya wagombea ubunge wa CCM itangazwe
Wateule wa Rais Magufuli waliotokea Chadema akina Juliana Shonza, Prof Kitila Mkumbo, Dr Mollel na Mwita Waitara wameongoza kwenye kura za maoni.
Aliyefeli ni Wakili msomi Patrobas Katambi wa Shinyanga mjini ambaye bado anapambana hajakata tamaa.
Nawatakia siku njema!
Heche hana pa kutokea safari hii!Waitara anaenguliwa mapemaaaa na kamati kuu maana aligawa sana rushwa. Yani huyu akiachwa basi nitaamini kuwa kuna uchawi wa kuloga hata nchi
Kweli bwashee........ hahahaaaa!Umemsahau kafurila a.k.a Tumbiri??
Bado natafakari tetemeko la ardhi lililotokea jana katika eneo kubwa la nchi yetu huku nikisubiri orodha ya wagombea ubunge wa CCM itangazwe
Wateule wa Rais Magufuli waliotokea Chadema akina Juliana Shonza, Prof Kitila Mkumbo, Dr Mollel na Mwita Waitara wameongoza kwenye kura za maoni.
Aliyefeli ni Wakili msomi Patrobas Katambi wa Shinyanga mjini ambaye bado anapambana hajakata tamaa.
Nawatakia siku njema!
Alikuwa cdm before actnajua katokea ACT kama founder wa chama kabla ya kujiunga CCM but inawezekana kumbukumbu zangu zimeingia kutu labda!
Heche, Bulaya na Matiko ni kama wamepita bila kupingwa. Yani tutawapiga mchakae na hivi leo mnaanza kugaragazana humo ndani!Heche hana pa kutokea safari hii!
Alikuwa Chadema wakafukuzwa maa usiti na Zito ndio wakaenda ACTnajua katokea ACT kama founder wa chama kabla ya kujiunga CCM but inawezekana kumbukumbu zangu zimeingia kutu labda!
Kafulila naye aliongoza?Bado natafakari tetemeko la ardhi lililotokea jana katika eneo kubwa la nchi yetu huku nikisubiri orodha ya wagombea ubunge wa CCM itangazwe
Wateule wa Rais Magufuli waliotokea Chadema akina Juliana Shonza, Prof Kitila Mkumbo, Dr Mollel na Mwita Waitara wameongoza kwenye kura za maoni.
Aliyefeli ni Wakili msomi Patrobas Katambi wa Shinyanga mjini ambaye bado anapambana hajakata tamaa.
Nawatakia siku njema!
Hahahaaaa........kashinda mkewe pale Ufipa!Kumbe kafulila naye kashinda kwenye maoni ? au upo ndotoni bwa shee