Wateule wa Rais Magufuli waliotokea CHADEMA wameongoza kwenye kura za maoni isipokuwa Patrobas Katambi

Wateule wa Rais Magufuli waliotokea CHADEMA wameongoza kwenye kura za maoni isipokuwa Patrobas Katambi

Je yule mama wa Dar es Salaam aliye enda kuchuana na Zungu vipi alishinda? Alafu hiyo orodha ya wagombea ubunge inatoka lini Yohana?
Dr Mjema hakutoka Chadema bwashee.

Orodha ya CCM itatoka wakati wowote!
 
Juliana, Kitila walifukuzwa Chadema. Halafu huyo Juliana mwisho wake ni 2020 kama ulifuatilia vizuri mchakato.

Kafulila je?
Kuna Devid Silinde pia ambaye licha ya kupiga magoti kwa wajumbe.Wajumbe hawa kuangalia
 
Bado natafakari tetemeko la ardhi lililotokea jana katika eneo kubwa la nchi yetu huku nikisubiri orodha ya wagombea ubunge wa CCM itangazwe.

Wateule wa Rais Magufuli waliotokea Chadema akina Juliana Shonza, Prof Kitila Mkumbo, Dr Mollel na Mwita Waitara wameongoza kwenye kura za maoni.

Aliyefeli ni Wakili msomi Patrobas Katambi wa Shinyanga Mjini ambaye bado anapambana hajakata tamaa.

Nawatakia siku njema!
Simanjiro?
 
Waitara anaenguliwa mapemaaaa na kamati kuu maana aligawa sana rushwa. Yani huyu akiachwa basi nitaamini kuwa kuna uchawi wa kuloga hata nchi
Huyo Waitara pamoja na kwamba mjumbe aliyemuhonga hela ndogo ilikuwa ni shilingi laki tatu lakini kwa sababu ya jukumu lake katika issue ya Lissu anaweza asikatwe jina japo hata wakimpitisha uuzaji wake utakuwa ni nafuu ya anayeuza ngozi ya punda kwani wananchi hawamtaki hata bure.

Kwa hao wengine "Equilibrium can tilt either way".
 
Sasa dharau gani na wakati inajulikana toka yupo huku, chama kilimlipia ada Law school ili asome awe wakili wa chama kama akina Kibatala akaenda akapata vimeo kama vyote mpaka anahamia CCM alikuwa hajaenda kuclear. Sasa leo mnataka tuache mpotoshe mumuite wakili msomi mtu ambaye si wakili?
Hayo unajua wewe, angekuwabhuko kwenu ungemjaza sifa ila kwa kuwa yuko kungine dharau nyingi.
 
Back
Top Bottom