Wateule wa Rais Magufuli waliotokea CHADEMA wameongoza kwenye kura za maoni isipokuwa Patrobas Katambi

Wateule wa Rais Magufuli waliotokea CHADEMA wameongoza kwenye kura za maoni isipokuwa Patrobas Katambi

najua katokea ACT kama founder wa chama kabla ya kujiunga CCM but inawezekana kumbukumbu zangu zimeingia kutu labda!

Kitila hakujiunga CCM, aliteuliwa kwa kunyakuliwa tu mzima mzima... kadi ilimfuata baadae!
 
Kitila hakujiunga CCM, aliteuliwa kwa kunyakuliwa tu mzima mzima... kadi ilimfuata baadae!
aliponyakuliwa alikuwa chama gani?
after all, kadi ilikuwa ni formality tu!
 
Bado natafakari tetemeko la ardhi lililotokea jana katika eneo kubwa la nchi yetu huku nikisubiri orodha ya wagombea ubunge wa CCM itangazwe.

Wateule wa Rais Magufuli waliotokea Chadema akina Juliana Shonza, Prof Kitila Mkumbo, Dr Mollel na Mwita Waitara wameongoza kwenye kura za maoni.

Aliyefeli ni Wakili msomi Patrobas Katambi wa Shinyanga Mjini ambaye bado anapambana hajakata tamaa.

Nawatakia siku njema!
Wanaongoza wapi mkuu mmeanza tena mchakato???, ila ukiona ivo ujue vichwa vipo Upinzani na madebe yapo Lumumba
 
Back
Top Bottom