najua katokea ACT kama founder wa chama kabla ya kujiunga CCM but inawezekana kumbukumbu zangu zimeingia kutu labda!
Mmezoea ubishi kama wa raisi wenu.
Amewafundisha vibya sana.
aliponyakuliwa alikuwa chama gani?Kitila hakujiunga CCM, aliteuliwa kwa kunyakuliwa tu mzima mzima... kadi ilimfuata baadae!
kadi ilikuwa ni formality tu!
aka aliokotwa jalalani!Either way, lakini alinyakuliwa!
Aliteuliwa akiwa ACT Wazalendo siyo CHADEMA. CDM alishatoka zamani akawa yuko ACT.Hukuwa unalijua hilo?
Wanaongoza wapi mkuu mmeanza tena mchakato???, ila ukiona ivo ujue vichwa vipo Upinzani na madebe yapo LumumbaBado natafakari tetemeko la ardhi lililotokea jana katika eneo kubwa la nchi yetu huku nikisubiri orodha ya wagombea ubunge wa CCM itangazwe.
Wateule wa Rais Magufuli waliotokea Chadema akina Juliana Shonza, Prof Kitila Mkumbo, Dr Mollel na Mwita Waitara wameongoza kwenye kura za maoni.
Aliyefeli ni Wakili msomi Patrobas Katambi wa Shinyanga Mjini ambaye bado anapambana hajakata tamaa.
Nawatakia siku njema!
Waliotuambia Kishindo cha awamu ya 5 tuambieni ndio hiki?Hilo tetemeko wamelileta yanga.
Maana walituambia nchi ITATETEMEKA NA KWELI IMETETEMEKA
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Kitila aliteuliwa akiwa ACTHujawahi kusoma somo la Historia ukiwa shule ya msingi bwashee?
Waliotuambia Kishindo cha awamu ya 5 tuambieni ndio hiki?
Mbatizaji nina swali kuhusu naibu waziri wa habari, aligombea wapi?Hujawahi kusoma somo la Historia ukiwa shule ya msingi bwashee?