Watia Nia wa CCM 2030 Mnaitwa Huku.

Watia Nia wa CCM 2030 Mnaitwa Huku.

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Mjumbe hauwawi na Mimi nimeikuta hivyo naiwasilisha kama ilivyo.

View: https://x.com/kigogo2014/status/1881590456691401155?t=rwwABbDTO6ZXy_9zmde1mw&s=19

My Take
Binafsi nimefurahia tuu kuona SSH amekata vilimi na viherehere vya wale wa 2025 hagombei ,azimio limeshapita.😁😁

Pia soma Pre GE2025 - Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Huko kwingine mtajuana wenyewe kikubwa historia imeandikwa na hivyo kuwapa Nguvu wanawake siku za usoni.

View: https://www.instagram.com/reel/DFDeEPvqUre/?igsh=ZXJpcmNnZzB3MTlu
 
Miaka mitano inapita haraka sana, mitandao ya wasaka urais soon inasukwa kuelekea huko, ni ustoppable 2030 si mbali
 
Na nyie Wasafwa tieni Nia hapo nyumbani kwenu Mbeya mjini

Dr Nchimbi mlibwanji 😂😂😂😂
 
Mjumbe hauwawi na Mimi nimeikuta hivyo naiwasilisha kama ilivyo.

View: https://x.com/kigogo2014/status/1881590456691401155?t=rwwABbDTO6ZXy_9zmde1mw&s=19

My Take
Binafsi nimefurahia tuu kuona SSH amekata vilimi na viherehere vya wale wa 2025 hagombei ,azimio limeshapita.😁😁

Pia soma Pre GE2025 - Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Huko kwingine mtajuana wenyewe kikubwa historia imeandikwa na hivyo kuwapa Nguvu wanawake siku za usoni.

View: https://www.instagram.com/reel/DFDeEPvqUre/?igsh=ZXJpcmNnZzB3MTlu

CCM watavurugana sana mwaka huu
 
Miaka mitano inapita haraka sana, mitandao ya wasaka urais soon inasukwa kuelekea huko, ni ustoppable 2030 si mbali
Mitandao inaweza kufanya kazi kama yeye atakuwa anamaliza muda wake kikatiba.

Ila kama katiba inamruhusu kuendelea, halaf na yey akawa anataka aendelee. Nakuhakikishia kwa mamlaka makubwa aliyonayo kupitia katiba hii inayompa raisi mamlaka makubwa ya kudhibiti jeshi, serikali, mahakama na sometimes hata bunge, ukijumlisha yeye ndio mwenyekiti wa chama ambae ana nafasi kubwa ya kufanya maamuzi katika chama chao. Nakuhakikisha kuwa hakuna mtu anaeweza kuthubutu kuweka kichwa chake na akamshinda.

Kumbuka ya Kikwete na Lowasa, pia ya Kikwete na Samuel Sitta.

Labda katiba ikibadilishwa na raisi kupunguziwa mamlaka. Kisha pia kubadili utaratibu wa raisi kuwa mwenyekiti wa chama. Hapo wenye mtandao wataweza kujitahidi.

Kikwete mwenyewe pamoja na kuwa na mtandao mkubwa ambao ulikuwa ushampitisha mwaka 95 kuwa mgombea hadi mwl Nyerere alipoingilia kati kuvuruga nafasi yake ya kugombea mbona hakuthubutu kuingiza pua yake kupambana na Mkapa mwaka 2000. Tena katika kipindi ambacho Nyerere alikuwa ameshakufa?

Ni kwa sababu alielewa nguvu alizokuwa nazo Mpaka kama raisi na mwenyekiti wa chama. Ndomaa akavuta vuta muda hadi 2005 Mkapa alipomaliza muda wake wa kutawala kikatiba.
 
Huu utaratibu wa CCM naupenda Kwa sababu unahakikisha chama kinashika Dola na kinaendelea kuwepo bila kuvurugana.

Ila ni hatari kama Rais anaamua kuwa Dikteta maana hakuna wa kumzuia.
 
Ni utaratibu mzuri kwa kiongozi anaejali demokrasia, haki, na usawa katika chama na taifa kwa ujumla.

Ila kama ni mwenye akili na mtazamo wa kidikteta kama Mu7, basi hali inaweza kuwa mbaya zaidi nchini na chamani.
 
Hapo wanatakiwa kuwa na mechanism ya ndani ya chama kudhibiti watu wa hivyo japo ni ngumu kidogo.
 
Back
Top Bottom