Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
hao waliomfukuza sijui watamuangaliaje siku akiwa na madaraka tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeumia sana hata kama mtu hampendi ilitakiwa wamheshimu kidogo
Wajinga sana hawa na staa muda wote ni nguvu tuwale watu huwa hawatumii akili mkuu,tena usiombe uwakute anga zao,juzi kati nilienda kambi fulani ya jeshi sasa nikawakuta walinzi 3 getini,mmoja nikamsalimia nikamueleza shida yangu akanikaribisha ndani,wale wawili hawakutaka kabisa kuitikia salamu yangu licha ya kuwasalimia mara mbili,wakamuuliza tu mwenzao ninataka nini
kuna mambo rais hapaswi kushauriwa ila anapaswa kujiongeza yeye kwa akili yake mwenyewe mfano swala la mishahara kwa watumishi rais anapaswa ajue watumishi wana hali mbaya bila kushauriwa
Wajinga sana hawa na staa muda wote ni nguvu tu
Kitu ambacho hauelewi vizuri ni kwamba Magufuli is a sadist - yaani anafurahia matatizo wa wenzie.
hahahaha[emoji23]. yule mzee bana hua nacheka sana humu ndani mnavomfanyia characterization yani kwa kifupi kama kuna mtu atataka kutunga kitabu kumhusu basi aje apitie humu JF
Nimesoma saikolojia. Amini, usiamini. Nakwambia kabisa - he is a sadist. Kadiri unavyolalamika kuumia, ndivyo anavyo kaza zaidi ili apate raha zaidi.
unachosema kinamfit kabisa mkuu,hata ule msemo wa vyuma vimekaza aliwahi kusema atazidi kuvikaza,naona leo kaahidi ndege 5 badala ya ajira
Cha ajabu kuna kundi kubwa sana la Watanzania wanaopigia makofi na kukatikia viuno huu upuuzi wakati vijana wetu wanaozea mtaani bila ajira! Na baadhi yao actually ni wale wasiokuwa na ajira!
Kigogo anamwita zao la uharibifu,,ameharibu na kuvunja kila sehemu.Kitu ambacho hauelewi vizuri ni kwamba Magufuli is a sadist - yaani anafurahia matatizo ya wenzie.
Wasio na akili za kufikiria ndiyo wanamfagilia sana huyu mzeekuna maza fulani nilimkuta anamsifia Magufuli nikamuliza kwanini anampenda akaniambia kwamba amewabana matajiri na amenunua ndege na anafukuza watu kazi hataki mchezo
The guy is sadist so he enjoys the sufferings of others, in order for him to have laughter there should be torturing, groaning, suppression, oppression, confiscation, trauma, stigma, manslaughter, kidnapping, mass killings, robbery, etc, etc.
Hakuna kipindi kibaya hapa tz kama miaka mitano ijayo kama nduli atarudi kitini ni Mungu pekee anaejua, maana si Kwa jeuri hii aliyoionesha nyangogo huyu kwenye awamu yake ya kwanza sasa awamu ya pili hakika waweza chinjwa hadharani.
unachosema kinamfit kabisa mkuu,hata ule msemo wa vyuma vimekaza aliwahi kusema atazidi kuvikaza,naona leo kaahidi ndege 5 badala ya ajira
Samahani kwa lugha Kalikuna maza fulani nilimkuta anamsifia Magufuli nikamuliza kwanini anampenda akaniambia kwamba amewabana matajiri na amenunua ndege na anafukuza watu kazi hataki mchezo
Watanzani ni watu wenye huruma za ajabu sana.Inaumiza sana
Nirudie maneno ya yule mbunge. "Mtumishi atakayeunga mkono bajeti hii ana ujasiri wa kujifunika shuka moja na nyoka" RIP mzee wangu.kuna mambo rais hapaswi kushauriwa ila anapaswa kujiongeza yeye kwa akili yake mwenyewe mfano swala la mishahara kwa watumishi rais anapaswa ajue watumishi wana hali mbaya bila kushauriwa
Uko sahihi. Ni kiongozi mbinafsi aliyejificha kwenye kisingizio cha kuwatetea wanyinge. Watumishi wa Tanzania ni kundi mojawapo la wanyonge. Amewanyonya hadi kumaliza damu halafu anawatishia.Yule unavyomuona ni mtu wa kujiongeza ?
Simchukii Magufuli binafsi ila anasilka ya kitoto sana.
Ndiyo maana anatumia nguvu nyingi sana kutafuta approvalUko sahihi. Ni kiongozi mbinafsi aliyejificha kwenye kisingizio cha kuwatetea wanyinge. Watumishi wa Tanzania ni kundi mojawapo la wanyonge. Amewanyonya hadi kumaliza damu halafu anawatishia.
Sanduku na lijibu amina.