Lihakanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 4,823
- 6,416
Atafute kwa wasiojielewaNdiyo maana anatumia nguvu nyingi sana kutafuta approval
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atafute kwa wasiojielewaNdiyo maana anatumia nguvu nyingi sana kutafuta approval
Samia ni mzuri na ni mweupe. Kampeni ya kuomba kura hiyo.Mimi hata kumsikiliza sina muda tena hajawahi kuwa na hotuba yenye mwelekeo wa matumaini kwa taifa zaidi ya makaripio na utani wa kuudhi
Siasa bhna huyu huyu leo wanaompeleka mputa mputa kesho anakuja kua boss wao sijui sura zao wataziweka wapi,, kwenye siasa ni bora kua mpole,mwenye busara na hekima mana hujui kesho yakoInaumiza sana