Lihakanga JF-Expert Member Joined Dec 17, 2016 Posts 4,823 Reaction score 6,416 Aug 31, 2020 #41 PTER said: Ndiyo maana anatumia nguvu nyingi sana kutafuta approval Click to expand... Atafute kwa wasiojielewa
PTER said: Ndiyo maana anatumia nguvu nyingi sana kutafuta approval Click to expand... Atafute kwa wasiojielewa
T T2020 Senior Member Joined Jul 15, 2020 Posts 158 Reaction score 361 Aug 31, 2020 #42 PTER said: Mimi hata kumsikiliza sina muda tena hajawahi kuwa na hotuba yenye mwelekeo wa matumaini kwa taifa zaidi ya makaripio na utani wa kuudhi Click to expand... Samia ni mzuri na ni mweupe. Kampeni ya kuomba kura hiyo.
PTER said: Mimi hata kumsikiliza sina muda tena hajawahi kuwa na hotuba yenye mwelekeo wa matumaini kwa taifa zaidi ya makaripio na utani wa kuudhi Click to expand... Samia ni mzuri na ni mweupe. Kampeni ya kuomba kura hiyo.
chlorine gas JF-Expert Member Joined Jun 12, 2015 Posts 2,522 Reaction score 2,651 Aug 31, 2020 #43 Kapwil said: Inaumiza sana Click to expand... Siasa bhna huyu huyu leo wanaompeleka mputa mputa kesho anakuja kua boss wao sijui sura zao wataziweka wapi,, kwenye siasa ni bora kua mpole,mwenye busara na hekima mana hujui kesho yako
Kapwil said: Inaumiza sana Click to expand... Siasa bhna huyu huyu leo wanaompeleka mputa mputa kesho anakuja kua boss wao sijui sura zao wataziweka wapi,, kwenye siasa ni bora kua mpole,mwenye busara na hekima mana hujui kesho yako
M Mpanda nyangobe JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 762 Reaction score 1,688 Aug 31, 2020 #44 mikopo huwa ina bima au hujui hili