Watibeli tupo upande wa haki. Kama unapigania haki sisi tupo upande wako

Nilishakushauri miaka mingi kama unakumbuka jikite kwenye mada za mahusiano na mapenzi huku utajichanganya.
 
Huna uwezo wa lugha hizi, kwenye eneo hili bora unyamaze.
BTW, sio lazima ujibu kila bandiko, mengine piga kimya.

Nashukuru kwa ushauri.

Ninapojibu watu wa aina hii ni kujaribu kuonyesha kuwa huwezi kutenda haki kama huna mabaya kuwalipa wabaya. Na mema kuwalipa Wema.

Ukiwa na mazuri pekee hutotenda haki.
Na ukiwa na mabaya tuu hutotenda haki.

Mabaya kwa mabaya
Mema kwa mema
Hiyo ndio HAKI
 
Nimegundua kila upande hauna uhakika… ngoma ngumu.
Wachumia ma tumbo hawaelewi wasimamie wapi wanabaki kua vituko 🤣🤣🤣
 
WATIBELI TUPO UPANDE WA HAKI. KAMA UNAPIGANIA HAKI SISI TUPO UPANDE WAKO.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

1. Hatuwi upande wako kwa sababu wewe ni mchungaji, au sheikhe, au Rais, au Mkuu wa majeshi, au waziri, au mbunge,au kaka au dada au Mzazi au mtoto. Hapana!

2. Kama upo upande wa haki, na unahaki, na inapigania haki, na unapenda Haki. Mimi Mtibeli na watibeli wote sisi tupo upande wako.

3. Kama hauko upande wa haki, hupendi haki, unakandamiza haki, na unanyima wengine haki. Mimi mtibeli na watibeli wengine hatupo upande wako. Sisi sio rafiki zako.

4. Tunajua hata waovu huhitaji haki. Tunajua.

5. Hata Mungu aliyetuumba akituacha, akitususa, akitutelekeza, asipotutetea, sisi hatutakaa upande wa dhulma. Hatufanyi na kupenda haki ili tupewe tuzo na yeyote. Bali tunaipenda haki kwa sababu ndio furaha yetu.

6. Hatupiganii haki kwa tunaowajua tuu. Bali tunapigania haki hata kwa wale tusiowajua. Tunaumia wengine wakionewa alafu sisi tukakaa kimya. Tunaumia.
Tunajua hatuna chakufanya lakini hata kuongea kwetu ni sadaka.

7. Tunaiamini hekima ya Mungu mkuu. Tuliahidi tangu kuzaliwa tutamsapoti Mungu aliyetuumba hata kwa ukimya wake. Hata asipotusaidia tutamsapoti na kuwa na subira na wokovu wake.

8. Maisha yetu ni baraka kwa wengine. Kwa sababu haki ndio maisha.

9. Hatutaki machafuko na vita vya nchi lakini pia tunapinga dhulma na ukandamizaji unaondelea.

10. Kwa hayo hatuwezi kujificha kuyasema, ingawaje tunajua hatari inayoweza kutukabili. Hata hivyo tunaogopa hatari moja tuu. Nayo ni ile hatari ya kumuasi Mungu aliyetuumba.
Kuabudu wengine ambao ni kama sanamu.

11. Ninasikitika kwa wale walioamua kuchagua njia mbaya, njia ya uasi na kuyafanya maisha yao kuwa laana kwa wengine, kuwafanya wengine walie na wahuzunike kwa matendo yao,
Kama Mtibeli, ndimi Robert kijana wenu nawasihi bado nafasi ya kuyaweka mambo sawa bado ipo.

12. Kama unapigania haki yako, na watu wameshindwa kukusaidia, na Mungu wako ameshindwa kukusaidia, na sisi watibeli tumeshindwa kukusaidia. Sisi hatukuambii acha. Pigania haki yako. Hekima ya Mungu na wokovu wake viwe pamoja nawe. Hata usipofanikiwa usiumie.

13. Mtu fulani hufikiri sisi watibeli ni wale watu wa kuwa na upande. Narudia sisi sio watu wa hivyo. Sisi tupo upande wa HAKI kama Mungu alivyo na haki.

14. Yeyote anayehitaji haki sisi watibeli tupo tayari kumsaidia. Iwe mwema au muovu. Kama utahitaji haki watibeli hatutakuonea hata kidogo. Wala hatutafanya kwa chuki. Kwa sababu watibeli hatunaga chuki.

Nawatakia siku njema! Mungu awaongoze.
Mungu asiwatelekeze
Mungu awape Ukombozi na awe kimbilio wakati wa shida.

Acha nipumzike sasa.

Robert Heriel
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Una bwabwaja sana mkuu
Point yako ni ipi kati ya maelezo haya yote.

Kuna watu walitwa mafarisayo walikuwa na maneno mengi sana , inadaiwa amri zile kumi walizitungia vipengele zaidi ya mia SITA.

Ila walikuwa wnafiki balaa.

Wakiume unakuwa specific
like
"huu uchaguzi hakuna haki naona tuungane kama wananchi wenye mamlaka makubwa kuukataaa."
 
WATIBELI TUPO UPANDE WA HAKI. KAMA UNAPIGANIA HAKI SISI TUPO UPANDE WAKO.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

1. Hatuwi upande wako kwa sababu wewe ni mchungaji, au sheikhe, au Rais, au Mkuu wa majeshi, au waziri, au mbunge,au kaka au dada au Mzazi au mtoto. Hapana!

2. Kama upo upande wa haki, na unahaki, na inapigania haki, na unapenda Haki. Mimi Mtibeli na watibeli wote sisi tupo upande wako.

3. Kama hauko upande wa haki, hupendi haki, unakandamiza haki, na unanyima wengine haki. Mimi mtibeli na watibeli wengine hatupo upande wako. Sisi sio rafiki zako.

4. Tunajua hata waovu huhitaji haki. Tunajua.

5. Hata Mungu aliyetuumba akituacha, akitususa, akitutelekeza, asipotutetea, sisi hatutakaa upande wa dhulma. Hatufanyi na kupenda haki ili tupewe tuzo na yeyote. Bali tunaipenda haki kwa sababu ndio furaha yetu.

6. Hatupiganii haki kwa tunaowajua tuu. Bali tunapigania haki hata kwa wale tusiowajua. Tunaumia wengine wakionewa alafu sisi tukakaa kimya. Tunaumia.
Tunajua hatuna chakufanya lakini hata kuongea kwetu ni sadaka.

7. Tunaiamini hekima ya Mungu mkuu. Tuliahidi tangu kuzaliwa tutamsapoti Mungu aliyetuumba hata kwa ukimya wake. Hata asipotusaidia tutamsapoti na kuwa na subira na wokovu wake.

8. Maisha yetu ni baraka kwa wengine. Kwa sababu haki ndio maisha.

9. Hatutaki machafuko na vita vya nchi lakini pia tunapinga dhulma na ukandamizaji unaondelea.

10. Kwa hayo hatuwezi kujificha kuyasema, ingawaje tunajua hatari inayoweza kutukabili. Hata hivyo tunaogopa hatari moja tuu. Nayo ni ile hatari ya kumuasi Mungu aliyetuumba.
Kuabudu wengine ambao ni kama sanamu.

11. Ninasikitika kwa wale walioamua kuchagua njia mbaya, njia ya uasi na kuyafanya maisha yao kuwa laana kwa wengine, kuwafanya wengine walie na wahuzunike kwa matendo yao,
Kama Mtibeli, ndimi Robert kijana wenu nawasihi bado nafasi ya kuyaweka mambo sawa bado ipo.

12. Kama unapigania haki yako, na watu wameshindwa kukusaidia, na Mungu wako ameshindwa kukusaidia, na sisi watibeli tumeshindwa kukusaidia. Sisi hatukuambii acha. Pigania haki yako. Hekima ya Mungu na wokovu wake viwe pamoja nawe. Hata usipofanikiwa usiumie.

13. Mtu fulani hufikiri sisi watibeli ni wale watu wa kuwa na upande. Narudia sisi sio watu wa hivyo. Sisi tupo upande wa HAKI kama Mungu alivyo na haki.

14. Yeyote anayehitaji haki sisi watibeli tupo tayari kumsaidia. Iwe mwema au muovu. Kama utahitaji haki watibeli hatutakuonea hata kidogo. Wala hatutafanya kwa chuki. Kwa sababu watibeli hatunaga chuki.

Nawatakia siku njema! Mungu awaongoze.
Mungu asiwatelekeze
Mungu awape Ukombozi na awe kimbilio wakati wa shida.

Acha nipumzike sasa.

Robert Heriel
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Muoga! Bendera fuata upepo 🚮
 
Back
Top Bottom